Huenda bahasha ndizo zinawapa Simba ushindi na siyo kocha, mechi ya Simba na Fountain Gate imenipa wasi wasi juu ya hilo

Acha makasiriko sheikh.
 
Wewe ni Hakimu wa Haki. Uishi milele Mkuu🙏
 
OKW BOBAN SUNZU angalia hii na uone kama ni sahihi


View: https://www.youtube.com/watch?v=mqf0V8VDdx4
 
Ngoja Nikutoe Tongotongo Mleta Mada.
Jana Mechi Iliongezwa Dakika 9 Na Refa Ambaye Ana Saa Mkononi Inayomuongoza Kuhakikisha Mechi Inachezwa Dakika 90.
Ila Mashabiki Wengi Huwa Mnatumia Saa Ya Mrusha Mechi Mbasharaa Ambayo Haisimami Mpaka Mwisho Wa Mechi.

Na Mechi Ya Jana Kulikuwa na Delay Za Muda Nyingi Tu.Na Baada Ya Kuongezwa Dakika9 ,Kufika Dakika Ya Ya 2 Kati Ya Zile Tisa Za Nyongeza Kulikuwa Na Tukio La Kadi Nyekundu Na Baada Ya Mwamuzi Kumuonyesha Kadi Golikipa Alidelay Kutoka Alichukua Kama Dakika4 Kutoka Uwanjani.
Hiyo Ilipelekea Mwamuzi Kufidia Hizo Dakika Zilizopotezwa Lengo Mchezo Uchezwe Dakika 90.
Mara Nyingi Mechi Zinazoongezwa Dakika Nyingi Ni Zile Ambazo Timu Ndogo Zinahitaji Angalau Point Moja Kwa Hiyo Kunakuwa Na Upotezaji Mkubwa Wa Dakika wa Ile Timu Ndogo Na Ndio Maana Huwezi Kukuta Simba Au Yanga Inaongoza Kukawa Na Upotezwaji Wa Muda Ikapelekea Mwamuzi Afidie Dakika Nyingi.
Na Kama Wewe Ni Shabiki Wa Yanga Nenda Kaangalie Mchezo Wa Yanga Na Azam 1st Round Mwamuzi Aliongeza Dakika Ngapi Mchezo Ukamalizika Dakika Ngapi?
 
Uyo refa alishaonyesha mazingira ya kutokuaminika kutokana na matendo yake uwanjani,,vitendo kama kuruhusu goli la offside ilikuwa ni ishara ya kuonyesha alikuwa na dhamira ovu,,muda ulipotezwa lakini sio kwa kiwango alichokiweka yeye,,tusitetee upuuzi kama huu tunalea majipu ambapo itatokea kwa wengine na autokuwa na nguvu za kuhoji kwasababu ushahalalisha haramu!
 
Umeshawahi Kuwa Refa Hata Kwa Timu Ya Mtaani?Kwani Kazi Za Washika Vibendera Unajizijua? Je Unajua Kiwango Cha Dakika Kilichopotea Au Una Hisi?Kama Hujajibu Haya Maswali Uenda Wewe Ndo Ukawa Umeandika Upuuzi.
 
Inatia shaka kwa kweli lakini inapunguza shaka kwa tukio moja la kukataa goli la Makolo.
 
KWELI NIMEGUNDUA MAMBUMBUMBU HAYAPENDWI INJI HII😆😆
 
Umeshawahi Kuwa Refa Hata Kwa Timu Ya Mtaani?Kwani Kazi Za Washika Vibendera Unajizijua? Je Unajua Kiwango Cha Dakika Kilichopotea Au Una Hisi?Kama Hujajibu Haya Maswali Uenda Wewe Ndo Ukawa Umeandika Upuuzi.
Wewe Bora ukakaa kimya tu usidhani Kila unayebishana nae hapa ni mbumbumbu,,ayo maswali ungemuuliza refa wako na washika vibendera wako sio Mimi,,siwezi kukujibu kwakuwa mahaba yamekuzidi na mahaba yakikuzidi unakuwa kipofu!
 
Wewe Bora ukakaa kimya tu usidhani Kila unayebishana nae hapa ni mbumbumbu,,ayo maswali ungemuuliza refa wako na washika vibendera wako sio Mimi,,siwezi kukujibu kwakuwa mahaba yamekuzidi na mahaba yakikuzidi unakuwa kipofu!
Umbumbumbu Una Kawaida Ya Kujisema Wenyewe Wala Haitajiki Shahidi Kuthibitisha .Goli La Offside Unamlalamikia Refa Wa Kati Alafu Unaukana Umbumbumbu Wakati Huo Tayari Umbumbumbu Umeshajiweka Wazi Kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…