Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Jamii ya wapenda muziki wa gospel afrika mashariki imeshtushwa na kusikitika sana baada ya kusikia matamshi ya mwimbaji maarufu zaidi wa muziki wa gospel hapa Tanzania kuwa;
1. Mungu alimpa wito maalum ambao unamtaka aachane kwanza na mumewe ili aende kuutumikia wito huo.
2. Aliamua kuachana na mumewe ili akawe huru kuanzisha kanisa lake na kuwa mchungaji.
3. Dhana ya kikristo kuwa mume na mke kuwa mwili mmoja imepitwa na wakati.
4. Yeye kuendelea kuishi pamoja na mumewe kungeendelea kumdidimiza.
5. Japokuwa yeye ameamua kuwa mchungaji lakini anachukia mnoo kuitwa mchungaji.
Watu wengi wanasema huenda Christina Shusho amechanganyikiwa au kulogwa na umaarufu, tamaa ya pesa au aibu anayokumbana nayo baada ya kutoka kwenye mstari wa kiimani ya kikristo.