Huenda Christina Shusho amechanganyikiwa au amelogwa?

Huenda Christina Shusho amechanganyikiwa au amelogwa?

Halafu watumishi wa kweli wapo tu mitaani wanapitia rumba kali kila wanalofanya haliendi kwa kua tu hawatumikii wito wao
halafu kuna hawa walanguzi motivational speakers na influencers wanaotumia vipaji vyao vyakupangilia pamba kali na maneno mazuri yasiyokuwepo kwenye biblia ili kupiga miamala
Daah..umeongea kweli,walioitwa na Mungu hawajaitika ila walijiita ndo wako front
 
Watu wengi wanasema huenda Christina Shusho amechanganyikiwa au kulogwa na umaarufu, tamaa ya pesa au aibu anayokumbana nayo baada ya kutoka kwenye mstari wa kiimani ya kikristo.
Siyo kwamba amempata Katibu kweli!?
 
Tusiende kwa makuhani na mitume?
ukienda umetaka mwenyewe, huko hawafundishi ufalme wa Mungu, wanakomaa na mafanikio ambayo hata ukifanikiwa kuna kufa, hawaamini watu kuacha dhambi, ndio maana si ajabu dada poa ukamkuta na mafuta ya upako
 
Mimi nampenda pamoja na makandokando yake Ila ni Mwanamke mmoja kila Mwanaume ana-wish kua nae oh men mumewe alikua anafaidi sio mchezo yaan with that big asset ma-men Mange Kimambi wa kuvujisha takataka chafu za hapa Mjini naomba asimfikie
View attachment 2960530Endelea kudanganywa na hizo camera zenye filter siku ukikutana nae live hutakaa uamini ndio huyo wa kwenye TV
 
Ila mi nabarikiwa na napokea uponyaji na sjawahi enda Kawe
Ni mtu wa Mungu mi nahisi hivyo
Namuombea maisha marefu
kila mtu, ni mtu wa Mungu shetani hana watu, ila kuwa kwamba ni mtumishi wa Mungu hilo ndio sina uhakika nalo
 
Back
Top Bottom