Huenda Christina Shusho amechanganyikiwa au amelogwa?

kaanzisha kanisa lake?
kwa sikuhizi kanisa ni investment km investment zingine. Inawezekana kaona fursa itayomlipa baadae.

Kuhusu hilo la mumewe huyo dada aseme ukweli aache kusingizia hiyo kazi ya kanisa.
Kama kufungua duka tu
 
Jamii ya wapenda muziki wa gospel afrika mashariki imeshtushwa na kusikitika sana baada ya kusikia matamshi ya mwimbaji maarufu zaidi wa muziki wa gospel hapa Tanzania kuwa;

1. Mungu alimpa wito maalum ambao unamtaka aachane kwanza na mumewe ili aende kuutumikia wito huo.

2. Aliamua kuachana na mumewe ili akawe huru kuanzisha kanisa lake na kuwa mchungaji.

3. Dhana ya kikristo kuwa mume na mke kuwa mwili mmoja imepitwa na wakati.

4. Yeye kuendelea kuishi pamoja na mumewe kungeendelea kumdidimiza.

5. Japokuwa yeye ameamua kuwa mchungaji lakini anachukia mnoo kuitwa mchungaji.

Watu wengi wanasema huenda Christina Shusho amechanganyikiwa au kulogwa na umaarufu, tamaa ya pesa au aibu anayokumbana nayo baada ya kutoka kwenye mstari wa kiimani ya kikristo.
 
Attachments

  • IMG_0543.jpeg
    IMG_0543.jpeg
    121 KB · Views: 9

  • IMG_0541.jpeg
    IMG_0541.jpeg
    196.3 KB · Views: 7
Ndio Christina Shusho analo kanisa lake (linaitwa The dreamer centre, liko Dar maeneo yq Manzese Tiptop), lina miaka zaidi ya saba sasa, wakati linaanzishwa ndio sekeseke la kuachana na mumewe lilipoanza kusemwa (maana Christina ndipo alipoanza kuonekana kutokuvaa pete ya ndoa na hakuonekana hata siku moja akihudumu na mumewe huku swaga zake zikiwa za usingle mother na sio kilokole) lakini Christina Shusho akapiga kimya. Muda umepita, kanisa halijalipa sana (waumini wachache na maokoto yakutafuta kwa tochi), sasa muelekeo umebadilika na kuwa kutafuta followers kwenye social media, kutrend kibongo flavour, kutengeneza kick na kuupiga chini ulokole mazima.
Dada mtamu yule, i missed those days
 
Huyo niqueen Sheba reincranation..
Ana nguvu kubwa sanaa karibia nyimbo zake zote zina melody tamuuu sana hizo melody anapozichukua na anayempa ndio siri yake.

Kama harmonizer alivyokutana naye airport pasipo kutarajia alitambaa na tumbo mpaka kwenye miguu yake

Inatisha sana
Yupi aliyetambaa hapo sasa, Harmonizer au huyo queen sheba?
Nataka nifahamu sawa sawa ili niongeze credit za kupondea.
 
Jamii ya wapenda muziki wa gospel afrika mashariki imeshtushwa na kusikitika sana baada ya kusikia matamshi ya mwimbaji maarufu zaidi wa muziki wa gospel hapa Tanzania kuwa;

1. Mungu alimpa wito maalum ambao unamtaka aachane kwanza na mumewe ili aende kuutumikia wito huo.

2. Aliamua kuachana na mumewe ili akawe huru kuanzisha kanisa lake na kuwa mchungaji.

3. Dhana ya kikristo kuwa mume na mke kuwa mwili mmoja imepitwa na wakati.

4. Yeye kuendelea kuishi pamoja na mumewe kungeendelea kumdidimiza.

5. Japokuwa yeye ameamua kuwa mchungaji lakini anachukia mnoo kuitwa mchungaji.

Watu wengi wanasema huenda Christina Shusho amechanganyikiwa au kulogwa na umaarufu, tamaa ya pesa au aibu anayokumbana nayo baada ya kutoka kwenye mstari wa kiimani ya kikristo.

Taarifa za hivi zinanihuzunishaga sana.Tuwaombee waimbaji nyimbo za injili,hasa hasa wakike

Kumbuka Lucifer alikuwa ni malaika kiongozi wa kuimba kule mbinguni.akajiona anabanwa na Mungu,akasema kwani sh.ngapi bhana! akataka kuwa kama Mungu

ni sura hiyo hiyo tunayoiona kwa waimbaji wengi wa nyimbo za injili pale huduma zao zinapoinuliwa .Ndiyo maana usipotambua kwamba ukiwa mwimbaji wa nyimbo kuasi huwa ni jamboa la haraka sana pale huduma yako inapokuwaga kubwa.
 
Back
Top Bottom