MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Miaka ya 90 mwishoni Anko wangu alikuwa na ugomvi mkubwa na mkewe baada ya mkewe kubadili dini toka RC kwenda SDA. Siku moja mida ya mchana akapata ugeni kutoka SDA church.. anko aliwapokea vizuri na kuwakaribisha sebuleni. Walikuwepo watu wa makamo kadhaa na jamaa mwingine ambaye alikuwa kijana kama wa early 30s. Yule kijana ndo alikuwa mzungumzaji mkuu kumshauri anko kuhusu mambo ya ndoa na mambo mengine ya kiimani. Mwisho wa mazungumzo Anko akamuuliza kijana kama ameoa... akajibu HAJAOA na bado yupo chuo anasomea uchungaji. Anko alipandwa na hasira na kuanza kutembeza mkong'oto kwa huyo dogo na waliokuwepo. Walifanikiwa kukimbia ila hawakuwahi kurudi tena kwa ishu ya ushauri.
KIMSINGI Christina akiwa kama malaya wa karne amekengeuka kabisa. Hafai kusikilizwa na mstaarabu yeyote. Hao waumini wa kanisa lake ni misukule kama ilivyo misukule mingine.
KIMSINGI Christina akiwa kama malaya wa karne amekengeuka kabisa. Hafai kusikilizwa na mstaarabu yeyote. Hao waumini wa kanisa lake ni misukule kama ilivyo misukule mingine.