Huenda David Zacharia Kafulila ndio mwanasiasa kijana toka CCM anayewasumbua zaidi Anti-Samia kwa hoja zenye data na misimamo thabiti isiyoyumba

Kwahio badala ya kutetea nchi ameshuka daraja na kuwa mteta mtu ?

Angebadilisha Profession na kuwa Mwanasheria (Personal Lawyer)
Unafahamu maana ya Uzalendo?

Uzalendo ni kusimama na Taifa na Rais pale anapofanya Vizuri,
 
Unafahamu maana ya Uzalendo?

Uzalendo ni kusimama na Taifa na Rais pale anapofanya Vizuri,
Aombe kuwa Personal Lawyer, hio ndio kazi ya kutetea na kuonyesha mazuri..., Mzalendo wa Taifa ni ku-criticize mabaya na kuonyesha makosa ili yaweze kurekebishwa; Sifa atapewa na mume wake, ndugu na jamaa zake...
 
Hoja ni kwamba jikite kwenye kilimo.
Utaimba mapambio yote hadi sauti ikauke ila nafasi ya uteuzi hupati.
Ni wapi Jamaa amesema anasaka UTEUZI?

Mwacheni mtu afanye anachokipenda nacho ni kumpigania Mama Samia Suluhu Hassan
 
Aombe kuwa Personal Lawyer, hio ndio kazi ya kutetea na kuonyesha mazuri..., Mzalendo wa Taifa ni ku-criticize mabaya na kuonyesha makosa ili yaweze kurekebishwa; Sifa atapewa na mume wake, ndugu na jamaa zake...
Hebu Tuletee hiyo tafsiri Mjomba ya Uzalendo
 
Mimi sio Kafulila Kaka, Ila Sipendi ujinga wa kuhamasisha watu kuiba wawapo na madaraka,
 
UNAJUA KILICHOMTOA UKUU WA MKOA?
 
Data bila kuona mambo haina maana wala msaada wowote

Data zinasema Dar kuna maji Lita milion 7

Haya uliza watu wa dar kama wanapata maji, now wananunua dumu la Lita 20 Kwa elf 5

Achana na Makaratasi njoo site onesha hiki na hiki
 
Ila hoja za namba zinauhalisia zaidi ya bra bra zile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…