Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafahamu maana ya Uzalendo?Kwahio badala ya kutetea nchi ameshuka daraja na kuwa mteta mtu ?
Angebadilisha Profession na kuwa Mwanasheria (Personal Lawyer)
Jamaa anashamba na analima Ila Jibuni hoja acheni matusi na KEJELIKafulila tafuta pori ulime,
siasa zimekukataa kwasababu una ndimi mbili kama kenge maji.
Hoja ni kwamba jikite kwenye kilimo.Jamaa anashamba na analima Ila Jibuni hoja acheni matusi na KEJELI
Aombe kuwa Personal Lawyer, hio ndio kazi ya kutetea na kuonyesha mazuri..., Mzalendo wa Taifa ni ku-criticize mabaya na kuonyesha makosa ili yaweze kurekebishwa; Sifa atapewa na mume wake, ndugu na jamaa zake...Unafahamu maana ya Uzalendo?
Uzalendo ni kusimama na Taifa na Rais pale anapofanya Vizuri,
Ni wapi Jamaa amesema anasaka UTEUZI?Hoja ni kwamba jikite kwenye kilimo.
Utaimba mapambio yote hadi sauti ikauke ila nafasi ya uteuzi hupati.
Hebu Tuletee hiyo tafsiri Mjomba ya UzalendoAombe kuwa Personal Lawyer, hio ndio kazi ya kutetea na kuonyesha mazuri..., Mzalendo wa Taifa ni ku-criticize mabaya na kuonyesha makosa ili yaweze kurekebishwa; Sifa atapewa na mume wake, ndugu na jamaa zake...
Bloo tumbili acha kelele.Ni wapi Jamaa amesema anasaka UTEUZI?
Mwacheni mtu afanye anachokipenda nacho ni kumpigania Mama Samia Suluhu Hassan
Shhhhh!!! Nyamaza umeshashtukiwa.Mimi sio Kafulila Kaka, Ila Sipendi ujinga wa kuhamasisha watu kuiba wawapo na madaraka,
UNAJUA KILICHOMTOA UKUU WA MKOA?Wasalaam JF,
Hoja thabiti za aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila zimeendelea kugonga Vichwa vya wale wote wanaotamani kusikia na kuona Rais Samia Suluhu Hassan kashindwa kuliongoza Taifa hili na Sasa utafutwe mbadala,
Tofauti kabisa na wanasiasa wengi hapa nchini David Zacharia Kafulila mara zote amekuwa akijenga " HOJA ZAKE KWA EVIDENCE NA DATA " jambo ambalo limekuwa likiwaumiza zaidi Wapinzani wa Chama Cha Mapinduzi na wale AntSamia wote kwani mara zote hushindwa kuzijibu na kuishia kutukana na kukejeli,
Wapo wanaosema David Kafulila alishindwa kuiba na kuwekeza kama wenzake alipokuwa madarakani ndio sababu ya yeye Leo amegeuka " Chawa wa Mama "
Record zinaonesha Mhe David Zacharia Kafulila ndio kijana anayeichukia zaidi Rushwa hapa Tanzania na huenda ndio sababu ya yeye kuendelea kuwa mtu wa Maisha ya kawaida kabisa tofauti na vijana wengi wa Kitanzania kwani wengi wao mara tu wanapoteuliwa hukimbilia kuiba Mali za UMMA na kuonekana kuwa wao ni MASHUJAA kwani huonekana wakiogelea kwenye Ukwasi ndani ya muda mfupi baada tu ya " UTEUZI "
Lakini pia, Huenda hili linachagizwa zaidi na vita ya Urais ndani ya CCM inayoonekana kukolea kila uchapo huku Upande pia wa Upinzani wakiendelea kumtupia madogo Rais Samia ili aonekane hawezi kuongoza Ila wao ili ifikapo 2025 waweze kuchukua dola na wangetamani wasiwepo watu aina ya Kafulila wanaofuta hoja zao kwa data na ushahidi anuai,
Tunaomfuatilia huyu kijana vizuri na wenye kumbukumbu sahihi mtakubaliana na Mimi kuwa Mhe David Zacharia Kafulila tangu akiwa mbunge wa Kigoma Kaskazini baadae RAS Songwe na Juzi RC Simiyu wakati wote huu Kafulila amekuwa ni mtu wa kuiunga mkono Serikali kwa kuandika na kurekodi makala mbalimbali tofauti na mawazo ya wengi kuwa ni baada ya kufurushwa kwenye U-RC ndio ameanza kuandika haya,
Tafiti zisizo rasmi ila zinazoaminika zinaonesha kuwa Mhe David Zacharia Kafulila alimsemea zaidi Rais Samia Suluhu Hassan akiwa RC Simiyu Pengine kuliko RC yeyote hapa Tanzania kwa wakati ule na hii iwatafakarishe wale wote wanaosema anachokifanya Leo Kafulila ni kusaka UTEUZI,
Sisi kama vijana, Tunamengi ya kujifunza toka kwa Mhe David Zacharia Kafulila hasa la Kiongozi kuwa Mwadilifu na mwaminifu hasa kwa kuchukia zaidi Rushwa na Wala Rushwa hata kama kesho tutasalia masikini Ila historia itaishi na ipo siku itatoa hukumu dhidi yetu,
#TUACHE KUHIMIZA VIJANA WAIBE WAKIWA NA VYEO ILI KESHO WASICHEKWE NA KUKEJERIWA,
====
Post in thread 'Kafulila: Rais Samia Suluhu kusuka upya mfumo wa Elimu ya Tanzania ni zaidi ya Uamuzi muhimu wowote uliowahi kufanyika baada ya Uhuru' Kafulila: Rais Samia Suluhu kusuka upya mfumo wa Elimu ya Tanzania ni zaidi ya Uamuzi muhimu wowote uliowahi kufanyika baada ya Uhuru
Kafulila: Tanzania ni nchi yenye deni dogo ukilinganisha na nchi zote zilizoko Kusini mwa Jangwa la Sahara. Hongera Rais Samia
Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya...www.jamiiforums.com
Kafulila: Mwaka mmoja tu wa Rais Samia mauzo ya bidhaa na huduma nje yameongezeka kwa US$ 2.8bl Sawa na Shilingi trilioni 6
Wakati baadhi ya Watanzania wachache wakiendelea kufumba macho na masikio wasione wala kusikia kazi kubwa na Nzuri inayofanywa na Rais wetu hodari wa awamu ya sita Mhe Samia Suluhu Hassan, Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila ameandika haya Kwenye ukurasa wake wa tweeter kuhusu...www.jamiiforums.com
RC Kafulila awanyoosha wachina wa CHICCO, ni wale waliotaka kutupiga TZS 15BL kwenye ujenzi wa barabara ya Mwigumbi-Maswa kilometa 57 kwa TZS 75BL
Kampuni ya kichina ya CHICCO yatekeleza agizo la RC Kafulila, tayari imekamilisha marudio ya barabara yenye urefu wa kilometa 10 zenye thamani ya tzs15bl. == Kampuni ya Kichina ya CHICCO inayotekeleza ujenzi wa Barabara ya Mwigumbi - Maswa yenye urefu wa kilomita57, ilianza ujenzi tangu mwaka...www.jamiiforums.com
====
ONA HIZI KEJELI KWA WAZALENDO
[emoji1541][emoji1541]
Thread 'Kafulila acha kusifu na kuabudu zama zimebadilika, mvua zinanyesha kubali umepumzishwa, shika jembe ukalime' Kafulila acha kusifu na kuabudu zama zimebadilika, mvua zinanyesha kubali umepumzishwa, shika jembe ukalime
Thread 'Kafulila hukuwekeza kama wenzako akina Ally Happi utakuwa mpiga tarumbeta hadi lini? Unazeeka sasa!' Kafulila hukuwekeza kama wenzako akina Ally Happi utakuwa mpiga tarumbeta hadi lini? Unazeeka sasa!
Nani aliyewaambia watu wale kwa urefu wa Kamba zao ?Mimi sio Kafulila Kaka, Ila Sipendi ujinga wa kuhamasisha watu kuiba wawapo na madaraka,
HAPANA hebu tusaidie,UNAJUA KILICHOMTOA UKUU WA MKOA?
Ile kauli hukuielewa tu ila inamaana kila mtu ale anachoatahili,Nani aliyewaambia watu wale kwa urefu wa Kamba zao ?
Nani sasa ndio Mwizi?David Kafulila sio Mwizi
Acha uzwa-zwa Mimi si Kafulila, why ulazimishe?Shhhhh!!! Nyamaza umeshashtukiwa.
Wasalaam JF,
Hoja thabiti za aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila zimeendelea kugonga Vichwa vya wale wote wanaotamani kusikia na kuona Rais Samia Suluhu Hassan kashindwa kuliongoza Taifa hili na Sasa utafutwe mbadala,
Tofauti kabisa na wanasiasa wengi hapa nchini David Zacharia Kafulila mara zote amekuwa akijenga " HOJA ZAKE KWA EVIDENCE NA DATA " jambo ambalo limekuwa likiwaumiza zaidi Wapinzani wa Chama Cha Mapinduzi na wale AntSamia wote kwani mara zote hushindwa kuzijibu na kuishia kutukana na kukejeli,
Wapo wanaosema David Kafulila alishindwa kuiba na kuwekeza kama wenzake alipokuwa madarakani ndio sababu ya yeye Leo amegeuka " Chawa wa Mama "
Record zinaonesha Mhe David Zacharia Kafulila ndio kijana anayeichukia zaidi Rushwa hapa Tanzania na huenda ndio sababu ya yeye kuendelea kuwa mtu wa Maisha ya kawaida kabisa tofauti na vijana wengi wa Kitanzania kwani wengi wao mara tu wanapoteuliwa hukimbilia kuiba Mali za UMMA na kuonekana kuwa wao ni MASHUJAA kwani huonekana wakiogelea kwenye Ukwasi ndani ya muda mfupi baada tu ya " UTEUZI "
Lakini pia, Huenda hili linachagizwa zaidi na vita ya Urais ndani ya CCM inayoonekana kukolea kila uchapo huku Upande pia wa Upinzani wakiendelea kumtupia madogo Rais Samia ili aonekane hawezi kuongoza Ila wao ili ifikapo 2025 waweze kuchukua dola na wangetamani wasiwepo watu aina ya Kafulila wanaofuta hoja zao kwa data na ushahidi anuai,
Tunaomfuatilia huyu kijana vizuri na wenye kumbukumbu sahihi mtakubaliana na Mimi kuwa Mhe David Zacharia Kafulila tangu akiwa mbunge wa Kigoma Kaskazini baadae RAS Songwe na Juzi RC Simiyu wakati wote huu Kafulila amekuwa ni mtu wa kuiunga mkono Serikali kwa kuandika na kurekodi makala mbalimbali tofauti na mawazo ya wengi kuwa ni baada ya kufurushwa kwenye U-RC ndio ameanza kuandika haya,
Tafiti zisizo rasmi ila zinazoaminika zinaonesha kuwa Mhe David Zacharia Kafulila alimsemea zaidi Rais Samia Suluhu Hassan akiwa RC Simiyu Pengine kuliko RC yeyote hapa Tanzania kwa wakati ule na hii iwatafakarishe wale wote wanaosema anachokifanya Leo Kafulila ni kusaka UTEUZI,
Sisi kama vijana, Tunamengi ya kujifunza toka kwa Mhe David Zacharia Kafulila hasa la Kiongozi kuwa Mwadilifu na mwaminifu hasa kwa kuchukia zaidi Rushwa na Wala Rushwa hata kama kesho tutasalia masikini Ila historia itaishi na ipo siku itatoa hukumu dhidi yetu,
#TUACHE KUHIMIZA VIJANA WAIBE WAKIWA NA VYEO ILI KESHO WASICHEKWE NA KUKEJERIWA,
====
Post in thread 'Kafulila: Rais Samia Suluhu kusuka upya mfumo wa Elimu ya Tanzania ni zaidi ya Uamuzi muhimu wowote uliowahi kufanyika baada ya Uhuru' Kafulila: Rais Samia Suluhu kusuka upya mfumo wa Elimu ya Tanzania ni zaidi ya Uamuzi muhimu wowote uliowahi kufanyika baada ya Uhuru
Kafulila: Tanzania ni nchi yenye deni dogo ukilinganisha na nchi zote zilizoko Kusini mwa Jangwa la Sahara. Hongera Rais Samia
Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya...www.jamiiforums.com
Kafulila: Mwaka mmoja tu wa Rais Samia mauzo ya bidhaa na huduma nje yameongezeka kwa US$ 2.8bl Sawa na Shilingi trilioni 6
Wakati baadhi ya Watanzania wachache wakiendelea kufumba macho na masikio wasione wala kusikia kazi kubwa na Nzuri inayofanywa na Rais wetu hodari wa awamu ya sita Mhe Samia Suluhu Hassan, Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila ameandika haya Kwenye ukurasa wake wa tweeter kuhusu...www.jamiiforums.com
RC Kafulila awanyoosha wachina wa CHICCO, ni wale waliotaka kutupiga TZS 15BL kwenye ujenzi wa barabara ya Mwigumbi-Maswa kilometa 57 kwa TZS 75BL
Kampuni ya kichina ya CHICCO yatekeleza agizo la RC Kafulila, tayari imekamilisha marudio ya barabara yenye urefu wa kilometa 10 zenye thamani ya tzs15bl. == Kampuni ya Kichina ya CHICCO inayotekeleza ujenzi wa Barabara ya Mwigumbi - Maswa yenye urefu wa kilomita57, ilianza ujenzi tangu mwaka...www.jamiiforums.com
====
ONA HIZI KEJELI KWA WAZALENDO
👇🏿👇🏿
Thread 'Kafulila acha kusifu na kuabudu zama zimebadilika, mvua zinanyesha kubali umepumzishwa, shika jembe ukalime' Kafulila acha kusifu na kuabudu zama zimebadilika, mvua zinanyesha kubali umepumzishwa, shika jembe ukalime
Thread 'Kafulila hukuwekeza kama wenzako akina Ally Happi utakuwa mpiga tarumbeta hadi lini? Unazeeka sasa!' Kafulila hukuwekeza kama wenzako akina Ally Happi utakuwa mpiga tarumbeta hadi lini? Unazeeka sasa!
Si-mjui, Ila Kafulila sio Mwizi kabisa that I can defend day or nightNani sasa ndio Mwizi?
Ila hoja za namba zinauhalisia zaidi ya bra bra zileData bila kuona mambo haina maana wala msaada wowote
Data zinasema Dar kuna maji Lita milion 7
Haya uliza watu wa dar kama wanapata maji, now wananunua dumu la Lita 20 Kwa elf 5
Achana na Makaratasi njoo site onesha hiki na hiki
Tumbili alimzushia Mzee Rugemalira jambo baya sanaMzee Leo naona huna hoja kabisa