TrioNeTwork
JF-Expert Member
- Aug 7, 2022
- 444
- 382
- Thread starter
- #61
Shule gani hiyo?Kama kafulila Ni kijana bas mm n mtoto
Alipokuwa darasa la Saba mm nilikuwa darasa la pili kwa Sasa Nina 44
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shule gani hiyo?Kama kafulila Ni kijana bas mm n mtoto
Alipokuwa darasa la Saba mm nilikuwa darasa la pili kwa Sasa Nina 44
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mzee wa watu akaishia kufuga mauchebe kama osamaYeye Tumbili hajapiga hela za Mzee Mkono?
Wewe unadhani kwanini aliitwa Tumbili
Rugemalira kama alikwiba mbona mmeshindwa kumfunga?
Kwanini ufurahie mwenzio kuharibikiwa?Tumbili huwezi kufurahi kupokonywa ndizi
Tumbili umesahau shule uliyosoma.Shule gani hiyo?
Kumbe kukosa uteuzi ni kuharibikiwaKwanini ufurahie mwenzio kuharibikiwa?
HAPANA Ila Kwanini Wewe ufurahie?Kumbe kukosa uteuzi ni kuharibikiwa
Wasalaam JF,
Hoja thabiti za aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila zimeendelea kugonga Vichwa vya wale wote wanaotamani kusikia na kuona Rais Samia Suluhu Hassan kashindwa kuliongoza Taifa hili na Sasa utafutwe mbadala,
Tofauti kabisa na wanasiasa wengi hapa nchini David Zacharia Kafulila mara zote amekuwa akijenga " HOJA ZAKE KWA EVIDENCE NA DATA " jambo ambalo limekuwa likiwaumiza zaidi Wapinzani wa Chama Cha Mapinduzi na wale Anti-Samia wote kwani mara zote hushindwa kuzijibu na kuishia kutukana na kukejeli,
Wapo wanaosema David Kafulila alishindwa kuiba na kuwekeza kama wenzake alipokuwa madarakani ndio sababu ya yeye Leo amegeuka " Chawa wa Mama "
Record zinaonesha Mhe David Zacharia Kafulila ndio kijana anayeichukia zaidi Rushwa hapa Tanzania na huenda ndio sababu ya yeye kuendelea kuwa mtu wa Maisha ya kawaida kabisa tofauti na vijana wengi wa Kitanzania kwani wengi wao mara tu wanapoteuliwa hukimbilia kuiba Mali za UMMA na kuonekana kuwa wao ni MASHUJAA kwani huonekana wakiogelea kwenye Ukwasi ndani ya muda mfupi baada tu ya " UTEUZI "
Lakini pia, Huenda hili linachagizwa zaidi na vita ya Urais ndani ya CCM inayoonekana kukolea kila uchapo huku Upande pia wa Upinzani wakiendelea kumtupia madongo Rais Samia ili aonekane hawezi kuongoza Ila wao ifikapo 2025 waweze kuchukua hili dola na wangetamani wasiwepo watu aina ya Kafulila wanaofuta hoja zao kwa data na ushahidi anuai,
Tunaomfuatilia huyu kijana vizuri na wenye kumbukumbu sahihi mtakubaliana na Mimi kuwa Mhe David Zacharia Kafulila tangu akiwa mbunge wa Kigoma Kaskazini baadae RAS Songwe na Juzi RC Simiyu wakati wote huu Kafulila amekuwa ni mtu wa kuiunga mkono Serikali kwa kuandika na kurekodi makala mbalimbali tofauti na mawazo ya wengi kuwa ni baada ya kufurushwa kwenye U-RC ndio ameanza kuandika haya,
Tafiti zisizo rasmi ila zinazoaminika zinaonesha kuwa Mhe David Zacharia Kafulila alimsemea zaidi Rais Samia Suluhu Hassan akiwa RC Simiyu Pengine kuliko RC yeyote hapa Tanzania kwa wakati ule na hii iwatafakarishe wale wote wanaosema anachokifanya Leo Kafulila ni kusaka UTEUZI,
Sisi kama vijana, Tunamengi ya kujifunza toka kwa Mhe David Zacharia Kafulila hasa la Kiongozi kuwa Mwadilifu na mwaminifu hasa kwa kuchukia zaidi Rushwa na Wala Rushwa hata kama kesho tutasalia masikini Ila historia itaishi na ipo siku itatoa hukumu dhidi yetu,
#TUACHE KUHIMIZA VIJANA WAIBE WAKIWA NA VYEO ILI KESHO WASICHEKWE NA KUKEJERIWA,
====
Post in thread 'Kafulila: Rais Samia Suluhu kusuka upya mfumo wa Elimu ya Tanzania ni zaidi ya Uamuzi muhimu wowote uliowahi kufanyika baada ya Uhuru' Kafulila: Rais Samia Suluhu kusuka upya mfumo wa Elimu ya Tanzania ni zaidi ya Uamuzi muhimu wowote uliowahi kufanyika baada ya Uhuru
Kafulila: Tanzania ni nchi yenye deni dogo ukilinganisha na nchi zote zilizoko Kusini mwa Jangwa la Sahara. Hongera Rais Samia
Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya...www.jamiiforums.com
Kafulila: Mwaka mmoja tu wa Rais Samia mauzo ya bidhaa na huduma nje yameongezeka kwa US$ 2.8bl Sawa na Shilingi trilioni 6
Wakati baadhi ya Watanzania wachache wakiendelea kufumba macho na masikio wasione wala kusikia kazi kubwa na Nzuri inayofanywa na Rais wetu hodari wa awamu ya sita Mhe Samia Suluhu Hassan, Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila ameandika haya Kwenye ukurasa wake wa tweeter kuhusu...www.jamiiforums.com
RC Kafulila awanyoosha wachina wa CHICCO, ni wale waliotaka kutupiga TZS 15BL kwenye ujenzi wa barabara ya Mwigumbi-Maswa kilometa 57 kwa TZS 75BL
Kampuni ya kichina ya CHICCO yatekeleza agizo la RC Kafulila, tayari imekamilisha marudio ya barabara yenye urefu wa kilometa 10 zenye thamani ya tzs15bl. == Kampuni ya Kichina ya CHICCO inayotekeleza ujenzi wa Barabara ya Mwigumbi - Maswa yenye urefu wa kilomita57, ilianza ujenzi tangu mwaka...www.jamiiforums.com
====
ONA HIZI KEJELI KWA WAZALENDO
👇🏿👇🏿
Thread 'Kafulila acha kusifu na kuabudu zama zimebadilika, mvua zinanyesha kubali umepumzishwa, shika jembe ukalime' Kafulila acha kusifu na kuabudu zama zimebadilika, mvua zinanyesha kubali umepumzishwa, shika jembe ukalime
Thread 'Kafulila hukuwekeza kama wenzako akina Ally Happi utakuwa mpiga tarumbeta hadi lini? Unazeeka sasa!' Kafulila hukuwekeza kama wenzako akina Ally Happi utakuwa mpiga tarumbeta hadi lini? Unazeeka sasa!
Mimi sio Kafulila Mjomba jenga hoja tu, Omba msaada kwa Mello kama unataka kunifahamu,
Tumbili una hasira na uteuzi kweri-kweriHAPANA Ila Kwanini Wewe ufurahie?
Unafahamu maana ya Uzalendo?
Uzalendo ni kusimama na Taifa na Rais pale anapofanya Vizuri,
Jamaa anashamba na analima Ila Jibuni hoja acheni matusi na KEJELI
Ni wapi Jamaa amesema anasaka UTEUZI?
Mwacheni mtu afanye anachokipenda nacho ni kumpigania Mama Samia Suluhu Hassan
Mimi sio Kafulila Kaka, Ila Sipendi ujinga wa kuhamasisha watu kuiba wawapo na madaraka,
Acha uzwa-zwa Mimi si Kafulila, why ulazimishe?
Si-mjui, Ila Kafulila sio Mwizi kabisa that I can defend day or night
Sasa Wewe CHADEMA UTEUZI wa CCM unakusumbua nini?Tumbili una hasira na uteuzi kweri-kweri
Lete hapa acha uongo uongo,Kafuatilie kilichomtoa kule Simiyu.
Kwani Rais ni fisadi?Kafulila imejishusha Sana. Kutoka mpinga ufisadi mpaka kuwa chawa wa RAIS. Pole Sana angalia ulipojikwaa. Unatetea mfumuko wa Bei na mikopo halafu unajiona upo sawa?. Endelea na uchawa.
Kwani kutweet muda gani we MzeeHuo muda wa kulima anapata wapi?. Anatakiwa kila siku aimbe pambio za kumsifu mama.
Ila hoja za namba zinauhalisia zaidi ya bra bra zile