Huenda Gachagua akajiuzulu wakati wowote, maana imethibitika hakuna uwezekano wa muujiza kumnusuru kuondolewa nafasi ya unaibu rais

Mzee jikite kwenye MADA iliyopo mbele yetu Sasa mfano hapa chadema inaingiaje??!

Wakati mwingine UMASKINI, DHIKI, NJAA, SHIDA zinaweza kukupa UPOFU WA FIKRA unajikuta unaanza kuchanganya madesa.
Wewe ilitakiwa ujikite katika hilo unaloona mimi sijajikita.sasa wewe umeandika nini na inahusiana vipi na andiko la mleta mada?
 
Safi sana.
Katiba zenye akili!
Huku Katiba inavunjwa na kupasuliwa vipande vipande na hakuna anayehoji!
 
Wewe ilitakiwa ujikite katika hilo unaloona mimi sijajikita.sasa wewe umeandika nini na inahusiana vipi na andiko la mleta mada?
Mimi nimetoa angalizo TU kua tujikite kwenye mada iliyopo mbele yetu Sasa wewe ukawa umetoka nje ya MADA na kutaja chadema ambapo hakukua na logic Wala mantiki kuhusiana na mada hii.

Kwa faida ya WENGI ngoja nitoe tafsiri ya UPOFU WA FIKRA.
Fikra ni uwezo wa kuona, kusikia, kuhisi na kisha kufanya maamuzi sahihi yenye matokea sahihi & vice versa is True.

Lucas Nimeandika kwa Nia nzurii TU nieleweke ivyo πŸ™
 
Tusubirie mahakama za kenya
msubirie mahakama zipi tena, wakati muungwana alienda mahakamani kudai kwamba lazima publics iulizwe ikiwa inafaa abanduliwe unaibu Rais ama laa ?

na akaambiwa public figures ambao ni wabunge ndio wawakilishi wa maoni ya wananchi na kwahivyo wanatosha kuwakilisha publis πŸ’
 
Huyu mwamba nilimuona chenga toka siku anaapishwa ile anamwambia mwanasheria ongea swahili basi nikashangaa sana mkenya analalamika kuapishwa kwa kiingereza
 
Je, maandamano ni haramu?
Je, kutishia watu, kuteka, kutesa na kuua watu ni ruksa?
Je, kuminya uhuru wa maoni ni ruksa?
Je, wizi na ufisadi serikalini ni ruksa?
Kabisa gentleman,

maandamno haramu ya Samia must go hayataruhusiwa kamwe ni sio haki wala uhuru wa yeyote Tanzania kwa mujibu wa katiba πŸ’

uhuru na maoni ya nani yamefinywa gentleman? Yaani hadi wanaporomosha matusi mazito mazito humu jukwaani unasema uhuru umeminywa?

acheni kushiriki mambo ya kiganga, ushirikina, ramli chonganishi, kutoana kafara na kuchukuana misukule halafu mnasingizia sijui nini huko...

mengineyo ni story na porojo tu za kupoteza muda πŸ’
 
Ok
 
The citizen lockdown!
Ney wa Mitego na wenye maoni sawa na yake hawatakiwi!

Hivi hamjui kwamba kama viongozi nyie mna haki ya kuongoza LAKINI wananchi wana wajibu wa kuwakosoa??
 
The citizen lockdown!
Ney wa Mitego na wenye maoni sawa na yake hawatakiwi!

Hivi hamjui kwamba kama viongozi nyie mna haki ya kuongoza LAKINI wananchi wana wajibu wa kuwakosoa??
hizo ni mistakes za kawaida tu ambazo ni sawa na alizofanya Rigathi Gachagua kubanduliwa unaibu Rais..

dosari na kasoro ndogo ndogo binafsi siyo kuzuia uhuru wa maoni au mawazo. Haki huambatana na wajibu regardless ni makusudi au bahati mbaya utawajibishwa tu πŸ’
 
Mtu alikuwa Makamu wa Rais muhula wao unaisha anaruhusiwa tena kugombea cheo kile kile ambacho alikitumikia kwa muda wa miaka kumi.
unamzungumzia kalonzo au Gachagua?

Infact,
hata senior counsel Kalonzo Musyoka anaweza kua naibu wa rais kwa katiba yao mpya ya 2010, licha ya kua vice president wa hayati Rais Emilio Mwai kibaki hapo kabla..

Rigath Gachagwa ana fursa hiyo pia endapo atajiuzulu bila kubanduliwa na bunge πŸ’
 
Mkuu umechambua vyema , naona wengine ikwemo na mtoa mada wako kimhemko tu hawaelewi chochote.
Jambo liko wazi na bayana kabisa una hemkaje kwa mfano gentleman?πŸ’

muungwana alishaenda mpaka mahakamani kujaribu kujikingia kifua kuhusu hiyo public hearing, akatoswa.

Infact,
hakuna hatua ambayo inaweza kuchelewa hata siku moja, kwenye hatua zile muhimu za kumbandua muungwana.

Nadhani maandalizi na mipango yote ilishakamilika kwanza, ndio muswada huu wa kumbandua Gachagua ukawasilishwa..

Very smooth with no obstacles, with nonstop process , the gentleman is going to be impeached as per 2010 constitutional of Kenya πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…