Pesa inatembea hapo Bungeni na seneti. Gachagua aendelee kuibba kupitia cheo chake kufidia pesa aliyohonga maseneta na wabunge.Ndio maana huwa nawaambia watu hatuna cha kujifunza kutoka Kenya,Bali wao ndio wana Mengi ya kujifunza kutoka Tanzania.
Alikuwa anaomba msamaha wa nini? Weak creature..Huenda haitazidi ijumaa ya kesho..
Akisubiri kubanduliwa na bunge bila kujiuzulu, basi atakua amejiondolea mwenyewe sifa na vigezo vya kikatiba kuwania nafasi za uongozi wa kisiasa wala, kushikilia nafasi yoyote ya utumishi wa umma nchini Kenya. Kwa lugha nyingine, atakua amajifungia maisha yake yote kutokujihusisha na siasa, lakini pia utumishi wa umma. Hiyo ni kwa mujibu wa katiba ya Kenya.
Hata hivyo,
Kutokana na uzito wa tuhuma zilizoibua sekeseke la musuada wa kubanduliwa kwake ofisini, kuna uwezekano mkubwa sana wa muungwana Rigath Gachagua, akapelekwa mahakamani moja kwa moja, iwe amejiuzulu kwa hiyari yake mwenyewe au asubiri kubanduliwa na bunge. Tuhuma zinazomkabili za kisheria, kikatiba, za kimaadili, uchochezi na zile za rushwa ni nzito mno, haziwezi kumuacha salama uraiani.
Kwa mipango ilivyo mpaka sasa, mabunge yote mawili lile la kitaifa na lile bunge la seneti wako tayari kuhakisha mwamba hachomoki kwa mujibu wa sheria na katiba ya Kenya, bali anakwenda jela π
Mungu Ibariki Tanzania
Gachagua hawezi toka kwa mashinikizo ya vibaraka wa Ruto.Alikuwa anaomba msamaha wa nini? Weak creature..
Na asipojiuzulu Kwa sheria zao ni kwamba atafukuzwa na hatoruhusiwa tena kushiriki kwenye siasa.
Na akijiuzulu Sasa ataona moto wa kunyanyaswa Hadi akili imkae sawa.
Yaani ukigeuka nchale ukikaa nchale.
kukwepa hilo la kutoruhusiwa kushiriki kwenye utumishi wa umma na siasa, anaweza kujiuzulu kabla ya kura ya kumbandua kesho..Alikuwa anaomba msamaha wa nini? Weak creature..
Na asipojiuzulu Kwa sheria zao ni kwamba atafukuzwa na hatoruhusiwa tena kushiriki kwenye siasa.
Na akijiuzulu Sasa ataona moto wa kunyanyaswa Hadi akili imkae sawa.
Yaani ukigeuka nchale ukikaa nchale.
atatoka tu kwa mujibu wa katiba mbovu ya kenya ya 2010, alayoapa kuilinda na vile vile aliyoikiua na kuinajisi...Gachagua hawezi toka kwa mashinikizo ya vibaraka wa Ruto.
Aanze kwanza Ruto aliyekuwa anainajisi katiba yao pindi akiwa Makamu wa Rais.atatoka tu kwa mujibu wa katiba mbovu ya kenya ya 2010, alayoapa kuilinda na vile vile aliyoikiua na kuinajisi...
hana wa kumlaumu, anafaa kujilaumu mwenywe ndio maana hata wabunge wengi wa Mount Kenya wanamuuliza, tuhuma zote9 zinazomkabili zina manufaa, uhusiano au umuhimu gani kwa watu wa mount Kenya? Mbona ni mambo yake binafsi tu π
anaanzaje sasa?Aanze kwanza Ruto aliyekuwa anainajisi katiba yao pindi akiwa Makamu wa Rais.