kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Ngoja chadema wakae sawa tutaelewana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huwa mnatumia kipimo gani kupata brightness ya mtu?Hata kuwa Rais wa Zanzibar jamaa anaweza, very braite
Mashaka ya nini?Dah.. Shaka! Napata Mashaka!
Hata mimi nakukubali Sana weweShaka namkubali Sana.
Unamatatizo,Mtu wa HOVYO sana huyu
Tatizo upambe utawaua , unamshangilia anaepigana na mwenzake aliefungwa mikono, ngoja ni nyamaze maana hamjui nguvu na imani iliyo katika nyoyo za watanzania KWa upinzani, Hata viongozi wenu ccm wanajua, ccm imebaki jina na kuirudisha tena inaitaji miaka 20 mbele, na kupitia viongozi wa kizazi KINGINE sio Cha Sasa,Aina ya Siasa anayofanya Katibu wa NEC itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka ni kete muhimu sana kwa CCM na anguko la Upinzani Tanzania,
====
HEBU ANGALIA SHAKA AKISHIRIKI NA WANAWAKE WA MTWARA WALIOMPA TUZO MAALUMU RAIS SAMIA SULUHU HASSAN,
Wanawake mkoani Mtwara wamemkabidhi tuzo maalumu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutambua mchango wa kuwatumikia Watanzania katika kuwaletea maendeleo hususan mkoani humo.
View attachment 2254003
Akizungumza baada ya kupokea tuzo hiyo, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema tuzo hiyo itamtia moyo na kumpa ari Rais Samia kuendelea kuwatumikia Watanzania.
View attachment 2254028
"Kitendo cha kumpatia tuzo mnamtia moyo, mnapa ari ya kuwatumikia Watanzania, pia mnamtia ari ya kutimiza malengo yenu akinamama katika mambo muhimu na ya msingi kama ambavyo nimeshasema.
View attachment 2254025
"Mwito wangu kwenu msisite, msiishie hapa endeleeni kumuombea kwa Mwenyezi Mungu, kila mmoja kwa imani yake Mwenyezi Mungu azidi kumpa afya njema ili aweze kututumikia Watanzania," amesema.
View attachment 2254014
Akiendelea kuzungumza zaidi kuhusu tuzo hiyo, Shaka amesema aliyoyafanya Rais Samia wanawake wanayajua hata ukiwaamsha usingizini wanakwambia ameifungua Mtwara.
Awali akizungumza kabla ya kukabidhi tuzo hiyo, kwa niaba ya wanawake hao Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania Mkoa wa Mtwara Zuhura Farid amesema wanawake wa Mtwara kwa niaba ya wanawake wengine wote wanampongeza Rais Samia kwa kazi kubwa na nzuri anayoifanya.
View attachment 2254010
"Hivyo tunaomba tukukabidhi zawadi hii kwa heshima na taadhima tunaomba umfikishie zawadi hii mama na umwambie asichelewe kufika Mtwara aje atuone kinamamma," amesema.
=======
HEBU ANGALIA SHAKA ALIVYOIWAKILISHA CCM KUIAGA TIMU YETU YA TEMBO WARRIORS
Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka ashiriki hafla ya kuiaga timu ya Taifa ya watu wenye ulemavu Tembo warriors inayoelekea nchini Poland barani Ulaya kwa maandalizi ya kuelekea mashindano ya dunia yatakayofanyika nchini Uturuki, 2022.
View attachment 2254017
Hafla hiyo ilifanyika usiku wa tarehe 06 Juni, 2022 katika ukumbi wa hotel ya Regency Park, Dar es Salaam ambapo ilihudhuriwa na wadau mbalimbali wa michezo nchini.
View attachment 2254023
Ujinga mtupu✍️Aina ya Siasa anayofanya Katibu wa NEC itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka ni kete muhimu sana kwa CCM na anguko la Upinzani Tanzania,

Namjua kuliko ww unavomjua kwaio usimpe mtu cheo ambacho hawezi akakihimiliHata kuwa Rais wa Zanzibar jamaa anaweza, very braite
ni wachache sana watakuelewa kuhusu hili na ndo mana CCM itatawala zaidi na zaidi kwa sababu kivuli nyuma yake ni kikubwa kuliko CCM yenyewe....Hivi huwa mnatumia kipimo gani kupata brightness ya mtu?
Kwani hamjui hayo yote yanaendelea kwa mlango wa nyuma kuna waratibu wa matukio hayo?
Huyo Shaka anaelezewa Sana na Wengine kuliko Kujielezea na Kujipambanua yeye Mwenyewe Watu Wamjue Yeye ni nani?Mashaka ya nini?
Shaka ni mtu kwelikweli,Shaka namkubali Sana.
KalagabahoTatizo upambe utawaua , unamshangilia anaepigana na mwenzake aliefungwa mikono, ngoja ni nyamaze maana hamjui nguvu na imani iliyo katika nyoyo za watanzania KWa upinzani, Hata viongozi wenu ccm wanajua, ccm imebaki jina na kuirudisha tena inaitaji miaka 20 mbele, na kupitia viongozi wa kizazi KINGINE sio Cha Sasa,
ShaKa jembe SanaDah.. Shaka! Napata Mashaka!
Braite sawa lakini siyo Bright!!Hata kuwa Rais wa Zanzibar jamaa anaweza, very braite
hoja hapo ni nini?Braite sawa lakini siyo Bright!!
Halafu wabongo siasa zenu za kujipendekeza sijui mtaacha lini eti jamaa anajua sana siasa [emoji1787][emoji1787] hujui hata kuandika ndugu kimombo cha watu
Hakuna jipya,mi naona sura za vibibi tu,kete ya mama ni udini,maana zimeishaanza za chinichini,kwmaba wanaompinga mama,wanampinga kwa sababu za dini yake na uzanzibar wake,Samia atatumia sana kete ya dini na uzenj,Aina ya Siasa anayofanya Katibu wa NEC itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka ni kete muhimu sana kwa CCM na anguko la Upinzani Tanzania,
====
HEBU ANGALIA SHAKA AKISHIRIKI NA WANAWAKE WA MTWARA WALIOMPA TUZO MAALUMU RAIS SAMIA SULUHU HASSAN,
Wanawake mkoani Mtwara wamemkabidhi tuzo maalumu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutambua mchango wa kuwatumikia Watanzania katika kuwaletea maendeleo hususan mkoani humo.
View attachment 2254003
Akizungumza baada ya kupokea tuzo hiyo, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema tuzo hiyo itamtia moyo na kumpa ari Rais Samia kuendelea kuwatumikia Watanzania.
View attachment 2254028
"Kitendo cha kumpatia tuzo mnamtia moyo, mnapa ari ya kuwatumikia Watanzania, pia mnamtia ari ya kutimiza malengo yenu akinamama katika mambo muhimu na ya msingi kama ambavyo nimeshasema.
View attachment 2254025
"Mwito wangu kwenu msisite, msiishie hapa endeleeni kumuombea kwa Mwenyezi Mungu, kila mmoja kwa imani yake Mwenyezi Mungu azidi kumpa afya njema ili aweze kututumikia Watanzania," amesema.
View attachment 2254014
Akiendelea kuzungumza zaidi kuhusu tuzo hiyo, Shaka amesema aliyoyafanya Rais Samia wanawake wanayajua hata ukiwaamsha usingizini wanakwambia ameifungua Mtwara.
Awali akizungumza kabla ya kukabidhi tuzo hiyo, kwa niaba ya wanawake hao Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania Mkoa wa Mtwara Zuhura Farid amesema wanawake wa Mtwara kwa niaba ya wanawake wengine wote wanampongeza Rais Samia kwa kazi kubwa na nzuri anayoifanya.
View attachment 2254010
"Hivyo tunaomba tukukabidhi zawadi hii kwa heshima na taadhima tunaomba umfikishie zawadi hii mama na umwambie asichelewe kufika Mtwara aje atuone kinamamma," amesema.
View attachment 2254585
View attachment 2254587