Huenda huyu akawa ni mtu hatari Zaidi kwa Upinzani wa Tanzania

Tatizo upambe utawaua , unamshangilia anaepigana na mwenzake aliefungwa mikono, ngoja ni nyamaze maana hamjui nguvu na imani iliyo katika nyoyo za watanzania KWa upinzani, Hata viongozi wenu ccm wanajua, ccm imebaki jina na kuirudisha tena inaitaji miaka 20 mbele, na kupitia viongozi wa kizazi KINGINE sio Cha Sasa,
 
Ujinga mtupu✍️
 
Hivi huwa mnatumia kipimo gani kupata brightness ya mtu?

Kwani hamjui hayo yote yanaendelea kwa mlango wa nyuma kuna waratibu wa matukio hayo?
ni wachache sana watakuelewa kuhusu hili na ndo mana CCM itatawala zaidi na zaidi kwa sababu kivuli nyuma yake ni kikubwa kuliko CCM yenyewe....

na CCM wanakijua hicho kivuli na kukiheshimu miaka yote
 
wajumbe watu wabayaaa sanaaaa......hahaaaa.....chama kina wenyeweeeee
 
Mbona ukifika uchaguzi mizengwe inaanza? Fanyeni uchaguzi huru tupime maneno yenu
 
Kalagabaho
 
Braite sawa lakini siyo Bright!!

Halafu wabongo siasa zenu za kujipendekeza sijui mtaacha lini eti jamaa anajua sana siasa [emoji1787][emoji1787] hujui hata kuandika ndugu kimombo cha watu
hoja hapo ni nini?

At all Shaka is a Good leader,
 
Hakuna jipya,mi naona sura za vibibi tu,kete ya mama ni udini,maana zimeishaanza za chinichini,kwmaba wanaompinga mama,wanampinga kwa sababu za dini yake na uzanzibar wake,Samia atatumia sana kete ya dini na uzenj,
Sasa hv hata Wazenj hawalalamiki sana kuhusu kuminywa na Bara,maana wote wanakula mema ya muungano,wanakuwa ma DC,rc,wakurugenzi nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…