Huenda huyu mtangazaji wa E. FM Maulid Kitenge kapata shavu sehemu nyingine

Huwez linganisha AzamTV na Wasafi ni ardhi na mbingu.
Haya mambo magumu huyajui tulia uone mchezo. Watu wameanza kutoka Azam kwenda Wasafi Media unadhani wanaenda kuvaa vikuku kule au ni dau limekuwa kubwa zaidi.

Usipate wenge kwa sababu iko chini ya Bhakresa ila watu wanaenda kwa sababu ya masilahi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…