GIRITA
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 4,432
- 5,864
Ahaa kumbeAlisaidia kupoteza ushahidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaa kumbeAlisaidia kupoteza ushahidi
Anavuta kasi.Saa hivi kanyamazishwa kwushineiiii
Sio kwamba kahamia Radio Tanzania RTD?Kahamia RFA
Sio kwamba kahamia Radio Tanzania RTD?Kahamia RFA
Mkuu nipo njia ya panda kabisa, labuda?Labuda adela kamnyima
dah we jamaa umenichekesha kinoma😂😂😂Hope.mkeo ama.mumeo ajui I'd yakoo
Better aende Azam Tv ,huko wasafi atapotea njiaMaulid anaenda kati ya sehemu hizi mbili.
Wasafi Media.
Azam Media.
Ni suala la muda ila namuona zaidi Wasafi Media
Better aende Azam Tv ,huko wasafi atapotea njia
Unaijua Wasafi au unaisikia kwenye mitandao?
Naanza kuunga dots na aliyesema yule ni .....suguWamteke wakati....
Haya mambo magumu huyajui tulia uone mchezo. Watu wameanza kutoka Azam kwenda Wasafi Media unadhani wanaenda kuvaa vikuku kule au ni dau limekuwa kubwa zaidi.Huwez linganisha AzamTV na Wasafi ni ardhi na mbingu.
Japo nilikupinga,ila nimeonafununu hii mkuuView attachment 1235558