Huenda huyu mtangazaji wa E. FM Maulid Kitenge kapata shavu sehemu nyingine

Huenda huyu mtangazaji wa E. FM Maulid Kitenge kapata shavu sehemu nyingine

Pamoja na mazuri yake mengi, kitenge huwa namuona kama mtu *mnafiki flani hivi Na mbinafsi* , ready to be corrected
 
Sio mbaya wanmcha wakaichangamshe
Maulid Kitenge ameshasaini mkataba Wasafi fm na anaanza kutangaza kipindi cha michezo kuanzia J3. Edo Kumwembe pia soon atatambulishwa.
 
Washatangaza anaenda wasafi fm na atakuwa akitangaza magazeti saa moja,saa mbili hadi saa tano atakuwa anatangaza kipindi cha wasafi sport arena
Maulid anaenda kati ya sehemu hizi mbili.

Wasafi Media.
Azam Media.

Ni suala la muda ila namuona zaidi Wasafi Media
 
Back
Top Bottom