Watanzania tumepoteza bahati kubwa sana maishani, Hayati Magufuli alikuwa zawadi kwa Watanzania.
Kama ilivyofanya Marekani miezi mitatu iliyopita, Julai 19 ni zamu ya Uingereza kulegeza mashariti ya kujikinga na COVID19 baada ya kugundua chanjo na barakoa hazina msaada wowote.
Rais wetu mpendwa, mzalendo na.1, mwalimu, mkemia Daktari Magufuli alilegeza mashariti toka mwaka 2020 alionekana mwendawazimu lakini leo maamuzi yake yanachukuliwa kwa umakini na dunia.
Wallah wote humu JF tutakufa na haitatokea kupata rais shujaa na imara kama JPM.
Pia soma:
- Boris Jonson: Sheria za kuvaa barakoa na kukaa mbali hazitakuwa lazima Uingereza