Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuu. Mfuate aliko. Ni kweli na haba kuwapata madikiteta kama yeye au Hitler. Uingereza wanalegeza masharti kwa kuwa wengi wamepata chanjo.Watanzania tumepoteza bahati kubwa sana maishani, Hayati Magufuli alikuwa zawadi kwa watanzania.
Kama ilivyofanya Marekani miezi mitatu iliyopita, Julai 19 ni zamu ya Uingereza kulegeza mashariti ya kujikinga na COVID19 baada ya kugundua chanjo na barakoa hazina msaada wowote.
Rais wetu mpendwa, mzalendo na.1, mwalimu, mkemia Daktari Magufuli alilegeza mashariti toka mwaka 2020...alionekana mwendawazimu lakini leo maamuzi yake yanachukuliwa kwa umakini na dunia.
Wallah wote humu JF tutakufa...na haitatokea kupata rais shujaa na imara kama JPM.
Pia soma
- Boris Jonson: Sheria za kuvaa barakoa na kukaa mbali hazitakuwa lazima Uingereza
Kujifungia ndio nini mkuu!?Pamoja na yoote.. bado unatembelea nyota ya hayati kwenye swala la korona. Kuwa na heshima na shukurani.
Hujawahi kujifungia ndani hadi leo unadunda tu.
Hii nchi vichaa mmeongezeka sana!Sio miaka 100 tu ,haitakuja kutokea kupata raisi Kama Magufuli Africa
Ajengewe sanamu kila mkoa
Sema maendeleo ya Chato labda,Kwa maisha ya watanzania kwa vile wengi wanaishi kwa ujanja ujanja wanaweza kukuona kama umerukwa na akili lakini kwa watu ambao tunaitaji maendeleo ya nchi na Rais ambae kweli kutoka moyoni yupo serious kweli bhasi JPM alikuwa Rais (Kiongozi ) ambae kama Taifa tumepoteza mtu ambae pengo lake halizibiki kweli kweli
Dili zingekoma kina sabaya bashite kakoko wasingekuwepoWapiga dili na waliozoea maisha ya burebure na utapeli hawatakuelewa mkuu.
Ukimwaga damu na machozi ya watu usiwezi ishi miaka mingi kama JK na MwinyiWapigaji na wale wanaopenda kuingiza bila kufanya kazi,au kuumiza akili,aise walai wanatamani waku insult,Ila kwa wale wanao fikili mbali sana watakuelewa.siku zote mijitu ya hovyo ndo huwa inadumu Sana na kuwa na maisha marefu Sana,mfano mzee wa msoga kj,hili jamaa litaisha maisha maisha malefu sana[emoji38].
Ujisemee binafsi, neno watanzania liondoe. Ni dai la kipuuzi unalolieleza, hasa kwa jamii iliyostaarabika yenye kujali utawala wa kisheria. Alikuwa zawadi kwa watu wa aina yako.Watanzania tumepoteza bahati kubwa sana maishani, Hayati Magufuli alikuwa zawadi kwa watanzania.
Kama ilivyofanya Marekani miezi mitatu iliyopita, Julai 19 ni zamu ya Uingereza kulegeza mashariti ya kujikinga na COVID19 baada ya kugundua chanjo na barakoa hazina msaada wowote.
Rais wetu mpendwa, mzalendo na.1, mwalimu, mkemia Daktari Magufuli alilegeza mashariti toka mwaka 2020...alionekana mwendawazimu lakini leo maamuzi yake yanachukuliwa kwa umakini na dunia.
Wallah wote humu JF tutakufa...na haitatokea kupata rais shujaa na imara kama JPM.
Pia soma
- Boris Jonson: Sheria za kuvaa barakoa na kukaa mbali hazitakuwa lazima Uingereza
Utakuwa ni mpuuzi ukijifanya uyaoni kwa maana hata vipofu wameyaona nashangaa ww mwenye macho au macho unayatumia kwa kazi nyingine?Sema maendeleo ya Chato labda,
Innovative ideas hakika alikuwa rais...sijawahi kuonaKwa maisha ya watanzania kwa vile wengi wanaishi kwa ujanja ujanja wanaweza kukuona kama umerukwa na akili lakini kwa watu ambao tunaitaji maendeleo ya nchi na Rais ambae kweli kutoka moyoni yupo serious kweli bhasi JPM alikuwa Rais (Kiongozi ) ambae kama Taifa tumepoteza mtu ambae pengo lake halizibiki kweli kweli
Mradi wa mwl nyerere ulionekana Kama hauna dhamani but for now Marais wastaafu wanasifia kwamba hayati alikuwa na maono makubwa na nchi yake ..but sipendi viongoz wanafiki Kama hao...harray for the late Dr John pombe MagufuliWatanzania tumepoteza bahati kubwa sana maishani, Hayati Magufuli alikuwa zawadi kwa Watanzania.
Kama ilivyofanya Marekani miezi mitatu iliyopita, Julai 19 ni zamu ya Uingereza kulegeza mashariti ya kujikinga na COVID19 baada ya kugundua chanjo na barakoa hazina msaada wowote.
Rais wetu mpendwa, mzalendo na.1, mwalimu, mkemia Daktari Magufuli alilegeza mashariti toka mwaka 2020 alionekana mwendawazimu lakini leo maamuzi yake yanachukuliwa kwa umakini na dunia.
Wallah wote humu JF tutakufa na haitatokea kupata rais shujaa na imara kama JPM.
Pia soma:
- Boris Jonson: Sheria za kuvaa barakoa na kukaa mbali hazitakuwa lazima Uingereza
Watanzania tumepoteza bahati kubwa sana maishani, Hayati Magufuli alikuwa zawadi kwa Watanzania.
Kama ilivyofanya Marekani miezi mitatu iliyopita, Julai 19 ni zamu ya Uingereza kulegeza mashariti ya kujikinga na COVID19 baada ya kugundua chanjo na barakoa hazina msaada wowote.
Rais wetu mpendwa, mzalendo na.1, mwalimu, mkemia Daktari Magufuli alilegeza mashariti toka mwaka 2020 alionekana mwendawazimu lakini leo maamuzi yake yanachukuliwa kwa umakini na dunia.
Wallah wote humu JF tutakufa na haitatokea kupata rais shujaa na imara kama JPM.
Pia soma:
- Boris Jonson: Sheria za kuvaa barakoa na kukaa mbali hazitakuwa lazima Uingereza
Hatutaki hata banda ya miaka bilioniWatanzania tumepoteza bahati kubwa sana maishani, Hayati Magufuli alikuwa zawadi kwa Watanzania.
Kama ilivyofanya Marekani miezi mitatu iliyopita, Julai 19 ni zamu ya Uingereza kulegeza mashariti ya kujikinga na COVID19 baada ya kugundua chanjo na barakoa hazina msaada wowote.
Rais wetu mpendwa, mzalendo na.1, mwalimu, mkemia Daktari Magufuli alilegeza mashariti toka mwaka 2020 alionekana mwendawazimu lakini leo maamuzi yake yanachukuliwa kwa umakini na dunia.
Wallah wote humu JF tutakufa na haitatokea kupata rais shujaa na imara kama JPM.
Pia soma:
- Boris Jonson: Sheria za kuvaa barakoa na kukaa mbali hazitakuwa lazima Uingereza
Mkuu, nchi kama UK wanalegeza masharti ya kujikinga na Covid-19 baada ya kufikia lengo walilojiwekea la immunization, idadi ya waliopata vaccine ni kubwa na wamecover wale wote waliokua kwenye risk.
Sio kwamba wanalegeza masharti bila data.
Kudadek....acheni masihala nyie. Yule hakua mtu. Alikua ni shetani kabisa. Binadamu asiye na huruma kwa kutaka watu waishi kwa hisia zake.Kwa maisha ya watanzania kwa vile wengi wanaishi kwa ujanja ujanja wanaweza kukuona kama umerukwa na akili lakini kwa watu ambao tunaitaji maendeleo ya nchi na Rais ambae kweli kutoka moyoni yupo serious kweli bhasi JPM alikuwa Rais (Kiongozi ) ambae kama Taifa tumepoteza mtu ambae pengo lake halizibiki kweli kweli