Huenda ikachukua miaka 100 au isitokee kupata Rais kama Hayati Magufuli

Huenda ikachukua miaka 100 au isitokee kupata Rais kama Hayati Magufuli

Kwa maisha ya watanzania kwa vile wengi wanaishi kwa ujanja ujanja wanaweza kukuona kama umerukwa na akili lakini kwa watu ambao tunaitaji maendeleo ya nchi na Rais ambae kweli kutoka moyoni yupo serious kweli bhasi JPM alikuwa Rais (Kiongozi ) ambae kama Taifa tumepoteza mtu ambae pengo lake halizibiki kweli kweli
 
Wapigaji na wale wanaopenda kuingiza bila kufanya kazi,au kuumiza akili,aise walai wanatamani waku insult,Ila kwa wale wanao fikili mbali sana watakuelewa.siku zote mijitu ya hovyo ndo huwa inadumu Sana na kuwa na maisha marefu Sana,mfano mzee wa msoga kj,hili jamaa litaisha maisha maisha malefu sana[emoji38].
 
Watanzania tumepoteza bahati kubwa sana maishani, JPM alikuwa zawadi kwa watanzania.

Kama ilivyofanya Marekani miezi mitatu iliyopita, Julai 19, ni zamu ya Uingereza kulegeza mashariti ya kujikinga na COVID19 baada ya kugundua chanjo na barakoa hazina msaada wowote
Kuuuuuuuuumbe mi nilikuwa sijui hata.
 
Mkuu acha kusifia hio kitu kabisa
Bora godi kafanya yake ili kuondoa lawama
Tulilishwa matango haswaa
Yaani tuliwahi hata kuaminishwa kua papai lina korona na watu tukaanza kuogopa kula mapapai
Mara mbuzi, mara oil chafu
Miyeyusho mitupu!

Alichofanya JPM haikulenga kukuaminisha wewe kwamba Papai, fenesi au oil chafu vina covid19 per se. Alichofanya ilikuwa kuprove point tu kwamba vipimo vya corona sio consistent na kuna lots of false positives/negatives

Pia recently imeonekana hata waliodungwa chanjo, bado wapo kwenye risk ya kuugua covid-19 provided wapo exposed kwenye mazingira hatarishi
 
Rais wetu mpendwa, mzalendo na.1 , mwalimu, mkemia Daktari Magufuli alilegeza mashariti toka mwaka 2020...alionekana mwendawazimu lakini leo maamuzi yake yanachukuliwa kwa umakini na dunia.
Acgha uhuni na mihemko ya kisukuma!
Unamsemea;
mbaguzi, katili, mkabila/mkanda, mnyanyasaji, jeuri, uonevu, no maadili, mtaka sifa na kusifiwa! kwendraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Inaweza kuchukua miaka 100 au isitokee kupata Rais kama Magufuli ambae kwa kipindi kifupi ambacho amekuwa Rais alikuwa busy kuteka watu,kutesa,kuua,kufanya ukabila,ukanda,udini,ubaguzi wa rangi kwa waafrika wenzake,wateule wake kubaka na kulawiti wananchi(akina Sabaya),kuua uchumi,kudanganya katika data za uchumi,kukataa sayansi(refer to Corona issue),kuua demokrasia,kuua uhuru wa kujieleza,ufisadi wa kutisha(refer to CAG report),kuiba kura,kutukana na kudharau wananchi,kukanyaga kanyaga katiba,kuweka mihimili ya nchi mfukoni na kadhalika.
 
Watanzania tumepoteza bahati kubwa sana maishani, Hayati Magufuli alikuwa zawadi kwa watanzania.

Kama ilivyofanya Marekani miezi mitatu iliyopita, Julai 19 ni zamu ya Uingereza kulegeza mashariti ya kujikinga na COVID19 baada ya kugundua chanjo na barakoa hazina msaada wowote.

Rais wetu mpendwa, mzalendo na.1, mwalimu, mkemia Daktari Magufuli alilegeza mashariti toka mwaka 2020...alionekana mwendawazimu lakini leo maamuzi yake yanachukuliwa kwa umakini na dunia.

Wallah wote humu JF tutakufa...na haitatokea kupata rais shujaa na imara kama JPM.

Pia soma
- Boris Jonson: Sheria za kuvaa barakoa na kukaa mbali hazitakuwa lazima Uingereza
MUUAJI , MVUNJA KATIBA NA SHERIA, MPOTEZAJI WATU, MBAMBIKIA KESI, MPORAJI HELA ZA WAFANYABIASHARA via TRA Kama huyu itachukua miaka 100 kumpata. Mengine ni porojo tu.
 
Mkuu, nchi kama UK wanalegeza masharti ya kujikinga na Covid-19 baada ya kufikia lengo walilojiwekea la immunization, idadi ya waliopata vaccine ni kubwa na wamecover wale wote waliokua kwenye risk,

Sio kwamba wanalegeza masharti bila data.
Hawa washamba wanataka kulazimisha Jiwe aonekane alikuwa genious..kitu ambacho hakiwezekani.
 
Kwa maisha ya watanzania kwa vile wengi wanaishi kwa ujanja ujanja wanaweza kukuona kama umerukwa na akili lakini kwa watu ambao tunaitaji maendeleo ya nchi na Rais ambae kweli kutoka moyoni yupo serious kweli bhasi JPM alikuwa Rais (Kiongozi ) ambae kama Taifa tumepoteza mtu ambae pengo lake halizibiki kweli kweli
Mavi
 
Mkuu acha kusifia hio kitu kabisa

Tulilishwa matango haswaa

Yaani tuliwahi hata kuaminishwa kua papai lina korona na watu tukaanza kuogopa kula mapapai.

Mara mbuzi, mara oil chafu.

Miyeyusho mitupu!
Pamoja na yoote.. bado unatembelea nyota ya hayati kwenye swala la korona. Kuwa na heshima na shukurani.

Hujawahi kujifungia ndani hadi leo unadunda tu.
 
Back
Top Bottom