Huenda ikachukua miaka 100 au isitokee kupata Rais kama Hayati Magufuli

Tumshukuru Mungu kwa kutuondolea majanga ikiwemo vimbunga,tufani na udikteta
 
Huu ni upumbavu
 
Ninyi mmekuwa mnaishi kiujanja na mwenzenu jiwe
 
Hivi nyie WASUKUMA mkoje,kwanini mnapenda kujidharaulisha kiasi hiki
 
Fanyeni kazi acheni blaa blaa.
 
Hatutakubali tena kutawaliwa scoundrel mwingne kama mwendakuzimu
 
Mkuu, nchi kama UK wanalegeza masharti ya kujikinga na Covid-19 baada ya kufikia lengo walilojiwekea la immunization, idadi ya waliopata vaccine ni kubwa na wamecover wale wote waliokua kwenye risk.

Sio kwamba wanalegeza masharti bila data.
Mada imeishia hapa.....
 
KWELI KABISA

Mimi issue za covid nilikuwa namuelewa sana JPM sasahivi sielewi chochote lakini nafata aliyotuambia.

Lala Jemedari utakumbukwa sana
 
Yaani tupo raha kabisa na mama siku mia.Hakuna viroba baharini, utekaji wasiojulikana,watu kubambikwa kesi, kufilisiwa, kuporwa pesa zao kwenye akaunti.Japo hatuna kitu lkn tuna matumaini.
 
ni kwelii hatutapata rais kama jpm nikama ilivyo kwa marais wengine nao hatutakuja kuwapata!
 

 
Zawadi ipi,ya kuua watu?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
mzee inaonesha unavuta sana bangi wewe mm ningekushauri tumiya cocaine unastarehe sana itakupeleka katika dunia nyengine kabisa. ivi kwa bangi zako huwo ushujaa wake umewasaidia nini wabongo halafu ujuwe alikuwa ikifuata ilani ya ccm na kwataarifa yako ccm inatawala Tanzania huu ni mwaka wa 60
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…