Huenda kilichozinduliwa Kwa ajili ya Uranium ,Nyuma yake kuna Uchimbaji wa Dhahabu !

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Kwa namna Madini ya Uranium yanavyochakatwa kuanzia Uchimbaji, Usalama wake katika Muktadha wa Usafirishaji, Usalama wa Mazingira , Usalama wa Binadamu, Usalama dhidi ya Jaribio watu wenye nia Ovu na malighafi ya Uranium .

Hilo tu lilitosha Leo Kwa Rais na Walinzi wake kuvalishwa Mavazi Rasimi yanayowezesha Usalama wao katika Eneo lenye Uranium .

Kale Kajengo ndo kwamba ??

Mradi Haujazingatia Occupational Safety , Environmental Safety, Kuna issues za Kuhakikisha VUMBI LITOKANALO NA SHUGULI ZA UCHIMBAJI LINAKUA CONTROLLED KWA SABABU INHALATION YA LILE VUMBI HUPELEKEA MATATIZO YA MAGONJWA YA KANSA YA MAPAFU ,INI, FIGO n.k...Wakuu Kwa Ufupi mambo ni mambo sana kuandika

Machawa watakuja WASEME aahhh hayo ni Madini tu, yanakua hayajafanyiwa enrichment!! Manina zenu machawaa, Madini ya Uranium hata katika miamba yake Huwa yana emit radiation ambazo ni naturally occurring , hivo Shughuli zozote zitakazohusisha Miamba yenye Madini ya Uranium huweza Kuongeza concentration ya hizi Radiation !!

Kwa kuzingatia Jeografia ya Eneo, na Uzoefu wa Migodini nihitimishe Kwa kusema

1/TANZANIA NI SHAMBA LA BIBI WALE WAHUNI WANACHIMBA DHAHABU !!!.

2/WIZARA YA AFYA, WIZARA YA MAZINGIRA , HAWAJUI MAJUKUMU YAO IPASAVYO.

Sina hakika kama Kwenye International Treats and Conventions kuhusu Shughuli zozote za Uranium , Serikali imezipitia Kwa weledi na kuzielewa

WAHUNI WAMEONA WACHAPULISHE FASTER KATIKA KIPINDI HIKI AMBACHO RAIS SAMIA ANATAFUTA PA KUZUNGUMZIA !!.
 
Basi na BBC wameingia mkenge maana wametangaza ni Mrasi wa Majaribio ya Uchaimbaji wa Madini ya Urani.
 
Shida umejikita kulaumu zaidi kuliko kushauri...

Jingine jitahidi kuwa na nidhamu kidogo, ukimuita Rais Samia hupungukiwi na chochote..!!!
Umemuelewa lakini mtoa mada? Kwa akili yako unafikiri ni kweli pale kuna shughuli ya Uranium? Kwani Rais akiitwa kwa jina lake anapungukiwa nini? Hata kama kuna maslahi mnayapata kwa Uchawa kuna ndugu zako wengi tu wanapata taabu kwa kukosa huduma mbalimbali za kijamii! Ubinafsi ni mbaya ndugu yangu!
 
Wee punguwani tuliza komwe lako huko...
 
Back
Top Bottom