Huenda kilichozinduliwa Kwa ajili ya Uranium ,Nyuma yake kuna Uchimbaji wa Dhahabu !

Kwa namna Madini ya Uranium yanavyochakatwa kuanzia Uchimbaji, Usalama wake katika Muktadha wa Usafirishaji, Usalama wa Mazingira , Usalama wa Binadamu, Usalama dhidi ya Jaribio watu wenye nia Ovu na malighafi ya Uranium .

Hilo tu lilitosha Leo Kwa Rais na Walinzi wake kuvalishwa Mavazi Rasimi yanayowezesha Usalama wao katika Eneo lenye Uranium .

Kale Kajengo ndo kwamba ??

Mradi Haujazingatia Occupational Safety , Environmental Safety, Kuna issues za Kuhakikisha VUMBI LITOKANALO NA SHUGULI ZA UCHIMBAJI LINAKUA CONTROLLED KWA SABABU INHALATION YA LILE VUMBI HUPELEKEA MATATIZO YA MAGONJWA YA KANSA YA MAPAFU ,INI, FIGO n.k...Wakuu Kwa Ufupi mambo ni mambo sana kuandika

Machawa watakuja WASEME aahhh hayo ni Madini tu, yanakua hayajafanyiwa enrichment!! Manina zenu machawaa, Madini ya Uranium hata katika miamba yake Huwa yana emit radiation ambazo ni naturally occurring , hivo Shughuli zozote zitakazohusisha Miamba yenye Madini ya Uranium huweza Kuongeza concentration ya hizi Radiation !!

Kwa kuzingatia Jeografia ya Eneo, na Uzoefu wa Migodini nihitimishe Kwa kusema

1/TANZANIA NI SHAMBA LA BIBI WALE WAHUNI WANACHIMBA DHAHABU !!!.

2/WIZARA YA AFYA, WIZARA YA MAZINGIRA , HAWAJUI MAJUKUMU YAO IPASAVYO.

Sina hakika kama Kwenye International Treats and Conventions kuhusu Shughuli zozote za Uranium , Serikali imezipitia Kwa weledi na kuzielewa

WAHUNI WAMEONA WACHAPULISHE FASTER KATIKA KIPINDI HIKI AMBACHO RAIS SAMIA ANATAFUTA PA KUZUNGUMZIA !!.
Inapita kila siku hapa Mikumi na Kuna army polisi wanaikagua wewe unataka jengo kubwa la nini,kwani hamjui hiyo kitu huenda Iko underground tunnels
 
Hivi nyie Wakuu hata kama hamna uelewa na masuala ya Mining Uranium...

Kweli lile Hema kama la Mwaposa lilojaa ma Simtanks ya Maji , ndo mradi wa Uranium?

Daahh Hii Nchi !!.

Sijui kwann Magufuli Alikufa
Magufuli ndo angafanyaje wakati ni walewale
 
Mambo ya ajabu sana, hata hivyo uranium ghafi haina madhara makubwa sana.
 
Basi na BBC wameingia mkenge maana wametangaza ni Mrasi wa Majaribio ya Uchaimbaji wa Madini ya Urani.
Tofautisha BBC ya pale Bush House na reporter wa BBC kaliba ya Kabendera na kitabu chake cha mauaji ya Ben Saanane na Magufuli kutoka kumbaka Samia ( nimecheka Sana wakati naandika haya)
 
Kama unaamini kina BBC za aina tofauti tofauti, basi wewe utakuwa ni extra intelligent! Ahahahahaha!!
 
20250203_155051.jpg
 
Bro hongera SANA. Nilitaka KUULIZA HIVI kile kiofisi ka machine ya kusagia NDO kita deal na uranium HII tunayo isikia au, nikazani LABDA Kuna ujenzi unaendelea inshort SIJAELEWA

Kwishaaaaaa
 
Inapita kila siku hapa Mikumi na Kuna army polisi wanaikagua wewe unataka jengo kubwa la nini,kwani hamjui hiyo kitu huenda Iko underground tunnels
Watu hawaelewi hao Mantra wana miaka kama ishirini ktk utafiti..kuna report ilitolewa miaka ya nyuma na chombo Cha habari Cha nje kwamba Burundi,Tanzania nimiongoni mwa nchi zenye Uranium,na imeanza kusafirishwa bila wananchi kujua
 
Mambo ya ajabu sana, hata hivyo uranium ghafi haina madhara makubwa sana.
Uranium ni Uranium tu bwashee.

Kama ingekuwa project ya Uranium kweli hiyo hiyo mashine asingejengwa kama ka mashine ka kukobolea mpunga.

Hapo CCM wanapiga tena kwa ajili ya Viongozi wao wa juu.

Usisahau Mkoa wa Ruvuma ndo mkoa ambao sasaivi CCM na Viongozi wao wanafanya project za kufa mtu za maliasili za Taifa hasa madini kwa ajili ya kujinufaisha binafsi na familia zao.
 
Hivi uranium mnaichukulia kama makaa ya mawe ?.Kuizibiti mionzi wakati wa uchumbaji vifaa vyake vinawekewa dhahabu sababu dhahabu ndio haipitishi mionzi
 
Kwa namna Madini ya Uranium yanavyochakatwa kuanzia Uchimbaji, Usalama wake katika Muktadha wa Usafirishaji, Usalama wa Mazingira , Usalama wa Binadamu, Usalama dhidi ya Jaribio watu wenye nia Ovu na malighafi ya Uranium .

Hilo tu lilitosha Leo Kwa Rais na Walinzi wake kuvalishwa Mavazi Rasimi yanayowezesha Usalama wao katika Eneo lenye Uranium .

Kale Kajengo ndo kwamba ??

Mradi Haujazingatia Occupational Safety , Environmental Safety, Kuna issues za Kuhakikisha VUMBI LITOKANALO NA SHUGULI ZA UCHIMBAJI LINAKUA CONTROLLED KWA SABABU INHALATION YA LILE VUMBI HUPELEKEA MATATIZO YA MAGONJWA YA KANSA YA MAPAFU ,INI, FIGO n.k...Wakuu Kwa Ufupi mambo ni mambo sana kuandika

Machawa watakuja WASEME aahhh hayo ni Madini tu, yanakua hayajafanyiwa enrichment!! Manina zenu machawaa, Madini ya Uranium hata katika miamba yake Huwa yana emit radiation ambazo ni naturally occurring , hivo Shughuli zozote zitakazohusisha Miamba yenye Madini ya Uranium huweza Kuongeza concentration ya hizi Radiation !!

Kwa kuzingatia Jeografia ya Eneo, na Uzoefu wa Migodini nihitimishe Kwa kusema

1/TANZANIA NI SHAMBA LA BIBI WALE WAHUNI WANACHIMBA DHAHABU !!!.

2/WIZARA YA AFYA, WIZARA YA MAZINGIRA , HAWAJUI MAJUKUMU YAO IPASAVYO.

Sina hakika kama Kwenye International Treats and Conventions kuhusu Shughuli zozote za Uranium , Serikali imezipitia Kwa weledi na kuzielewa

WAHUNI WAMEONA WACHAPULISHE FASTER KATIKA KIPINDI HIKI AMBACHO RAIS SAMIA ANATAFUTA PA KUZUNGUMZIA !!.
WAHUNI WAMEONA WACHAPULISHE FASTER KATIKA KIPINDI HIKI AMBACHO RAIS SAMIA ANATAFUTA PA KUZUNGUMZIA !!.🥺🥺🥺🥺
 
Basi na BBC wameingia mkenge maana wametangaza ni Mrasi wa Majaribio ya Uchaimbaji wa Madini ya Urani.
Wale warusi niekutana nao Songea toka 2017 wakiwa na huo utafiti wa uranion, tulikuwa tunacheza nao basketball uwanja wa kanisa la biblia tanzania (klbt)miataa ya mahenge,nimeshangaa sana ndio wanazindua kwaka huu
 
Back
Top Bottom