Huenda kilichozinduliwa Kwa ajili ya Uranium ,Nyuma yake kuna Uchimbaji wa Dhahabu !

Huenda kilichozinduliwa Kwa ajili ya Uranium ,Nyuma yake kuna Uchimbaji wa Dhahabu !

Kwa namna Madini ya Uranium yanavyochakatwa kuanzia Uchimbaji, Usalama wake katika Muktadha wa Usafirishaji, Usalama wa Mazingira , Usalama wa Binadamu, Usalama dhidi ya Jaribio watu wenye nia Ovu na malighafi ya Uranium .

Hilo tu lilitosha Leo Kwa Rais na Walinzi wake kuvalishwa Mavazi Rasimi yanayowezesha Usalama wao katika Eneo lenye Uranium .

Kale Kajengo ndo kwamba ??

Mradi Haujazingatia Occupational Safety , Environmental Safety, Kuna issues za Kuhakikisha VUMBI LITOKANALO NA SHUGULI ZA UCHIMBAJI LINAKUA CONTROLLED KWA SABABU INHALATION YA LILE VUMBI HUPELEKEA MATATIZO YA MAGONJWA YA KANSA YA MAPAFU ,INI, FIGO n.k...Wakuu Kwa Ufupi mambo ni mambo sana kuandika

Machawa watakuja WASEME aahhh hayo ni Madini tu, yanakua hayajafanyiwa enrichment!! Manina zenu machawaa, Madini ya Uranium hata katika miamba yake Huwa yana emit radiation ambazo ni naturally occurring , hivo Shughuli zozote zitakazohusisha Miamba yenye Madini ya Uranium huweza Kuongeza concentration ya hizi Radiation !!

Kwa kuzingatia Jeografia ya Eneo, na Uzoefu wa Migodini nihitimishe Kwa kusema

1/TANZANIA NI SHAMBA LA BIBI WALE WAHUNI WANACHIMBA DHAHABU !!!.

2/WIZARA YA AFYA, WIZARA YA MAZINGIRA , HAWAJUI MAJUKUMU YAO IPASAVYO.


Sina hakika kama Kwenye International Treats and Conventions kuhusu Shughuli zozote za Uranium , Serikali imezipitia Kwa weledi na kuzielewa

WAHUNI WAMEONA WACHAPULISHE FASTER KATIKA KIPINDI HIKI AMBACHO RAIS SAMIA ANATAFUTA PA KUZUNGUMZIA !!.
Kama serikali imeshindwa kusimamia bandari tu kwa ufanisi, huko kwenye "uranium" hakuna watakachoweza. Hao "warusi" watachimba kila kitu.
 
Watu hawaelewi hao Mantra wana miaka kama ishirini ktk utafiti..kuna report ilitolewa miaka ya nyuma na chombo Cha habari Cha nje kwamba Burundi,Tanzania nimiongoni mwa nchi zenye Uranium,na imeanza kusafirishwa bila wananchi kujua
Wewe ndo umeeleza ukweli,ki ukweli nashangaa utalii wote huu na dhahabu bado wanatorosha uranium na bado deni ni trillion 157,hii ni aibu
 
Back
Top Bottom