Transisco06
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 1,033
- 1,013
Inapita kila siku hapa Mikumi na Kuna army polisi wanaikagua wewe unataka jengo kubwa la nini,kwani hamjui hiyo kitu huenda Iko underground tunnelsKwa namna Madini ya Uranium yanavyochakatwa kuanzia Uchimbaji, Usalama wake katika Muktadha wa Usafirishaji, Usalama wa Mazingira , Usalama wa Binadamu, Usalama dhidi ya Jaribio watu wenye nia Ovu na malighafi ya Uranium .
Hilo tu lilitosha Leo Kwa Rais na Walinzi wake kuvalishwa Mavazi Rasimi yanayowezesha Usalama wao katika Eneo lenye Uranium .
Kale Kajengo ndo kwamba ??
Mradi Haujazingatia Occupational Safety , Environmental Safety, Kuna issues za Kuhakikisha VUMBI LITOKANALO NA SHUGULI ZA UCHIMBAJI LINAKUA CONTROLLED KWA SABABU INHALATION YA LILE VUMBI HUPELEKEA MATATIZO YA MAGONJWA YA KANSA YA MAPAFU ,INI, FIGO n.k...Wakuu Kwa Ufupi mambo ni mambo sana kuandika
Machawa watakuja WASEME aahhh hayo ni Madini tu, yanakua hayajafanyiwa enrichment!! Manina zenu machawaa, Madini ya Uranium hata katika miamba yake Huwa yana emit radiation ambazo ni naturally occurring , hivo Shughuli zozote zitakazohusisha Miamba yenye Madini ya Uranium huweza Kuongeza concentration ya hizi Radiation !!
Kwa kuzingatia Jeografia ya Eneo, na Uzoefu wa Migodini nihitimishe Kwa kusema
1/TANZANIA NI SHAMBA LA BIBI WALE WAHUNI WANACHIMBA DHAHABU !!!.
2/WIZARA YA AFYA, WIZARA YA MAZINGIRA , HAWAJUI MAJUKUMU YAO IPASAVYO.
Sina hakika kama Kwenye International Treats and Conventions kuhusu Shughuli zozote za Uranium , Serikali imezipitia Kwa weledi na kuzielewa
WAHUNI WAMEONA WACHAPULISHE FASTER KATIKA KIPINDI HIKI AMBACHO RAIS SAMIA ANATAFUTA PA KUZUNGUMZIA !!.
Mjinga weInapita kila siku hapa Mikumi na Kuna army polisi wanaikagua wewe unataka jengo kubwa la nini,kwani hamjui hiyo kitu huenda Iko underground tunnels
Magufuli ndo angafanyaje wakati ni walewaleHivi nyie Wakuu hata kama hamna uelewa na masuala ya Mining Uranium...
Kweli lile Hema kama la Mwaposa lilojaa ma Simtanks ya Maji , ndo mradi wa Uranium?
Daahh Hii Nchi !!.
Sijui kwann Magufuli Alikufa
DuuhWarusi wako Afrika kutafuta Dhahabu ..nothing more !!.
Tofautisha BBC ya pale Bush House na reporter wa BBC kaliba ya Kabendera na kitabu chake cha mauaji ya Ben Saanane na Magufuli kutoka kumbaka Samia ( nimecheka Sana wakati naandika haya)Basi na BBC wameingia mkenge maana wametangaza ni Mrasi wa Majaribio ya Uchaimbaji wa Madini ya Urani.
Kama unaamini kina BBC za aina tofauti tofauti, basi wewe utakuwa ni extra intelligent! Ahahahahaha!!Tofautisha BBC ya pale Bush House na reporter wa BBC kaliba ya Kabendera na kitabu chake cha mauaji ya Ben Saanane na Magufuli kutoka kumbaka Samia ( nimecheka Sana wakati naandika haya)
Rais wa yanga yupoKuwa na Adabu, huna Rais mwingine ni yeye tu kwa sasa
Kama unaamini kina BBC za aina tofauti tofauti, basi wewe utakuwa ni extra intelligent! Ahahahahaha!!
Mkuu mambo Yao Tena?? Wajukuu zetu watatuuaMambo yao waachie wenyewe ccSmart
Sahihi kabisa mkuuMyoa mada naweza kukubaliana na wewe. Huo Uganda una dhahabu ya kufa mtu.
Warusi wanabeba DhahabuBro hongera SANA. Nilitaka KUULIZA HIVI kile kiofisi ka machine ya kusagia NDO kita deal na uranium HII tunayo isikia au, nikazani LABDA Kuna ujenzi unaendelea inshort SIJAELEWA
Kwishaaaaaa
Watu hawaelewi hao Mantra wana miaka kama ishirini ktk utafiti..kuna report ilitolewa miaka ya nyuma na chombo Cha habari Cha nje kwamba Burundi,Tanzania nimiongoni mwa nchi zenye Uranium,na imeanza kusafirishwa bila wananchi kujuaInapita kila siku hapa Mikumi na Kuna army polisi wanaikagua wewe unataka jengo kubwa la nini,kwani hamjui hiyo kitu huenda Iko underground tunnels
Uranium ni Uranium tu bwashee.Mambo ya ajabu sana, hata hivyo uranium ghafi haina madhara makubwa sana.
Yale yale mtu mweupe anakuahidi kitu behind anabeba vituWarusi wako Afrika kutafuta Dhahabu ..nothing more !!.
WAHUNI WAMEONA WACHAPULISHE FASTER KATIKA KIPINDI HIKI AMBACHO RAIS SAMIA ANATAFUTA PA KUZUNGUMZIA !!.🥺🥺🥺🥺Kwa namna Madini ya Uranium yanavyochakatwa kuanzia Uchimbaji, Usalama wake katika Muktadha wa Usafirishaji, Usalama wa Mazingira , Usalama wa Binadamu, Usalama dhidi ya Jaribio watu wenye nia Ovu na malighafi ya Uranium .
Hilo tu lilitosha Leo Kwa Rais na Walinzi wake kuvalishwa Mavazi Rasimi yanayowezesha Usalama wao katika Eneo lenye Uranium .
Kale Kajengo ndo kwamba ??
Mradi Haujazingatia Occupational Safety , Environmental Safety, Kuna issues za Kuhakikisha VUMBI LITOKANALO NA SHUGULI ZA UCHIMBAJI LINAKUA CONTROLLED KWA SABABU INHALATION YA LILE VUMBI HUPELEKEA MATATIZO YA MAGONJWA YA KANSA YA MAPAFU ,INI, FIGO n.k...Wakuu Kwa Ufupi mambo ni mambo sana kuandika
Machawa watakuja WASEME aahhh hayo ni Madini tu, yanakua hayajafanyiwa enrichment!! Manina zenu machawaa, Madini ya Uranium hata katika miamba yake Huwa yana emit radiation ambazo ni naturally occurring , hivo Shughuli zozote zitakazohusisha Miamba yenye Madini ya Uranium huweza Kuongeza concentration ya hizi Radiation !!
Kwa kuzingatia Jeografia ya Eneo, na Uzoefu wa Migodini nihitimishe Kwa kusema
1/TANZANIA NI SHAMBA LA BIBI WALE WAHUNI WANACHIMBA DHAHABU !!!.
2/WIZARA YA AFYA, WIZARA YA MAZINGIRA , HAWAJUI MAJUKUMU YAO IPASAVYO.
Sina hakika kama Kwenye International Treats and Conventions kuhusu Shughuli zozote za Uranium , Serikali imezipitia Kwa weledi na kuzielewa
WAHUNI WAMEONA WACHAPULISHE FASTER KATIKA KIPINDI HIKI AMBACHO RAIS SAMIA ANATAFUTA PA KUZUNGUMZIA !!.
Wale warusi niekutana nao Songea toka 2017 wakiwa na huo utafiti wa uranion, tulikuwa tunacheza nao basketball uwanja wa kanisa la biblia tanzania (klbt)miataa ya mahenge,nimeshangaa sana ndio wanazindua kwaka huuBasi na BBC wameingia mkenge maana wametangaza ni Mrasi wa Majaribio ya Uchaimbaji wa Madini ya Urani.