Huenda kilichozinduliwa Kwa ajili ya Uranium ,Nyuma yake kuna Uchimbaji wa Dhahabu !

Kama serikali imeshindwa kusimamia bandari tu kwa ufanisi, huko kwenye "uranium" hakuna watakachoweza. Hao "warusi" watachimba kila kitu.
 
Watu hawaelewi hao Mantra wana miaka kama ishirini ktk utafiti..kuna report ilitolewa miaka ya nyuma na chombo Cha habari Cha nje kwamba Burundi,Tanzania nimiongoni mwa nchi zenye Uranium,na imeanza kusafirishwa bila wananchi kujua
Wewe ndo umeeleza ukweli,ki ukweli nashangaa utalii wote huu na dhahabu bado wanatorosha uranium na bado deni ni trillion 157,hii ni aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…