Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Ni wazi, huenda kinachochochea sarakasi na drama zinazoendelea ndani ya CHADEMA ni mapambano na vita vya kupindua na kunyakua mamlaka ya kitaifa ya chama hicho, kutokana na muonekano wa hali ya mwenyekiti wake ilivyo hivi sasa ya kua dhaifu sana, na mashtaka ya uhaini yanayomkabili. Ambapo huenda wanaopambana kuidhibiti CHADEMA, wamefanya utafiti, wamejiridhisha na wamejithibitishia kabisa kwamba, mwenyekiti wao taifa, hawezi kamwe kuchomoka korokoroni, na hata akichomoka hatakuwa na uwezo tena wa kuongoza CHADEMA, kwasababu ya hali yake physically and mentally ilivyo.
So drama iliyotokea juzi ni jitihada za viongozi makatili na wenye uchu wa madaraka ndani ya CHADEMA, za kuwatisha na kuwazuia watu wa karibu wa kiongozi huyo kibaraka anaesota korokoroni, kuaccess mipango yao na kinachoendelea pale CHADEMA HQ, na kisha kumpelekea information kibaraka korokoroni. Hii ni alert kwamba, watu wa karibu wa kibaraka muhaini anaesota korokoroni, hawatakiwi kabisa kukanyaga CHADEMA HQ, wala kuhudhuria vikao vya Chama hicho vinavyofanyika CHADEMA HQ.
Je, kwa mtazamo wako, unahisi ni nani na nani wanapambana na wanagombania kutwaa mamlaka kamili ya chadema taifa pale HQ na kumpindua kibaraka akiwa korokoroni?🐒
Mungu Ibariki Tanzania