Naona uko job mzee baba, unapambania uongo kwa dhati!Ni wazi,
huenda kinachochochea sarakasi na drama zinazoendelea ndani ya chadema ni mapambano na vita vya kupindua na kunyakua mamlaka ya kitaifa ya chama hicho, kutokana na muonekano wa hali ya mwenyekiti wake ilivyo hivi sasa ya kua dhaifu sana, na mashtaka ya uhaini yanayomkabili, ambapo huenda wanaopambana kuidhibiti chadema, wamefanya utafiti, wamejiridhisha na wamejithibitishia kabisa kwamba, mwenyekiti wao taifa, hawezi kamwe kuchomoka korokoroni, na hata akichomoka hata kua na uwezo tena wa kuongoza chadema, kwasababu ya hali yake physically and mentally ilivyo.
So,
drama iliyotokea juzi ni jitihada za viongozi makatili na wenye uchu wa madaraka ndani ya chadema, za kuwatisha na kuwazuia watu wa karibu wa kiongozi huyo kibaraka anaesota korokoroni, kuaccess mipango yao na kinachoendelea pale Chadema HQ, na kisha kumpelekea information kibaraka korokoroni. Hii ni alert kwamba, watu wa karibu wa kibaraka muhaini anaesota korokoroni, hawatakiwi kabisa kukanyaga chadema HQ, wala kuhudhuria vikao vya Chama hicho vinavyofanyika chadema HQ.
Je,
kwa mtazamo wako, unahisi ni nani na nani wanapambana na wanagombania kutwaa mamlaka kamili ya chadema taifa pale HQ na kumpindua kibaraka akiwa korokoroni?π
Mungu Ibariki Tanzania
Ngoja uje utekwe na vijana wa mafwele ndo utakuja kuandika vizuri hizo drama unazojitungia.Ni wazi,

Samia kamfuata Lissu gerezani akimuomba Lissu amsaidie kumsafisha kimataifa, baada ya Lissu kutia ngumu wakaona wamuwinde msaidizi wake.. na juzi hapa wamemlisha chakula chenye sumu akaumwa sana tumbo, inawezekana ni ile sumu ya kummaliza taratibu..jikite kwenye hoja tu kwa kurelax gentleman, huna haja ya kua na mihemko useless ikiwa uko pointless π
timiza wajibu wako vema bas gentleman kwa kujikita kwenye hoja mahususi mezani na kuchangia au kuipinga bila kumbwelambwela mambo useless jukwaani,Naona uko job mzee baba, unapambania uongo kwa dhati!
Wale vijana wa ovyo na wasio na msaada kwa Taifa wewe ndio mkuu wai!
You are right ata Abdul amesema hivyoNi wazi,
huenda kinachochochea sarakasi na drama zinazoendelea ndani ya chadema ni mapambano na vita vya kupindua na kunyakua mamlaka ya kitaifa ya chama hicho, kutokana na muonekano wa hali ya mwenyekiti wake ilivyo hivi sasa ya kua dhaifu sana, na mashtaka ya uhaini yanayomkabili, ambapo huenda wanaopambana kuidhibiti chadema, wamefanya utafiti, wamejiridhisha na wamejithibitishia kabisa kwamba, mwenyekiti wao taifa, hawezi kamwe kuchomoka korokoroni, na hata akichomoka hata kua na uwezo tena wa kuongoza chadema, kwasababu ya hali yake physically and mentally ilivyo.
So,
drama iliyotokea juzi ni jitihada za viongozi makatili na wenye uchu wa madaraka ndani ya chadema, za kuwatisha na kuwazuia watu wa karibu wa kiongozi huyo kibaraka anaesota korokoroni, kuaccess mipango yao na kinachoendelea pale Chadema HQ, na kisha kumpelekea information kibaraka korokoroni. Hii ni alert kwamba, watu wa karibu wa kibaraka muhaini anaesota korokoroni, hawatakiwi kabisa kukanyaga chadema HQ, wala kuhudhuria vikao vya Chama hicho vinavyofanyika chadema HQ.
Je,
kwa mtazamo wako, unahisi ni nani na nani wanapambana na wanagombania kutwaa mamlaka kamili ya chadema taifa pale HQ na kumpindua kibaraka akiwa korokoroni?π
Mungu Ibariki Tanzania
Kibaraka muhaini anaesota korokoroni si ana minyoo sugu gentleman, chronic roundworms ambayo husababishwa na chronic stress, ama ulikua hujui hili?Samia kamfuata Lissu gerezani akimuomba Lissu amsaidie kumsafisha kimataifa, baada ya Lissu kutia ngumu wakaona wamuwinde msaidizi wake.. na juzi hapa wamemlisha chakula chenye sumu akaumwa sana tumbo, inawezekana ni ile sumu ya kummaliza taratibu..
You are right ata Abdul amesema hivyo. Keep it upkibaraka muhaini anaesota korokoroni si ana minyoo sugu gentleman, chronic roundworms ambayo husababishwa na chronic stress, ama ulikua hujui hili?
hukuona akitembea na contena la ubwabwa hadi mahakamani tena kizimbani kabisa? ana minyoo mikali sana.
sasa,
wanaonyukana kutwaa madaraka yake ndani ya chadema, wameona kabisa muungwana kwa vyovyote vile hatoboi na ndio maana wanawatisha wasaidizi wake kwa drama useless kama ile ya juzi, ili wasisogee kabisa HQ mipango ya Mapinduzi inapofanywa na wahuni ndani ya chadema π
Hii ni aina ya propaganda ya kizamani sana hata wa darasa la pili C haikubali hata mvuta bangi haingii Akilini ni mwendawazimu pekee aweza kukaa akakusikilizaNi wazi,
huenda kinachochochea sarakasi na drama zinazoendelea ndani ya chadema ni mapambano na vita vya kupindua na kunyakua mamlaka ya kitaifa ya chama hicho, kutokana na muonekano wa hali ya mwenyekiti wake ilivyo hivi sasa ya kua dhaifu sana, na mashtaka ya uhaini yanayomkabili, ambapo huenda wanaopambana kuidhibiti chadema, wamefanya utafiti, wamejiridhisha na wamejithibitishia kabisa kwamba, mwenyekiti wao taifa, hawezi kamwe kuchomoka korokoroni, na hata akichomoka hata kua na uwezo tena wa kuongoza chadema, kwasababu ya hali yake physically and mentally ilivyo.
So,
drama iliyotokea juzi ni jitihada za viongozi makatili na wenye uchu wa madaraka ndani ya chadema, za kuwatisha na kuwazuia watu wa karibu wa kiongozi huyo kibaraka anaesota korokoroni, kuaccess mipango yao na kinachoendelea pale Chadema HQ, na kisha kumpelekea information kibaraka korokoroni. Hii ni alert kwamba, watu wa karibu wa kibaraka muhaini anaesota korokoroni, hawatakiwi kabisa kukanyaga chadema HQ, wala kuhudhuria vikao vya Chama hicho vinavyofanyika chadema HQ.
Je,
kwa mtazamo wako, unahisi ni nani na nani wanapambana na wanagombania kutwaa mamlaka kamili ya chadema taifa pale HQ na kumpindua kibaraka akiwa korokoroni?π
Mungu Ibariki Tanzania
Hivi sasq ni muda wa kuwasaka watekaji moja baada ya mwingine,pia utafikiwq ti!Ni wazi, huenda kinachochochea sarakasi na drama zinazoendelea ndani ya CHADEMA ni mapambano na vita vya kupindua na kunyakua mamlaka ya kitaifa ya chama hicho, kutokana na muonekano wa hali ya mwenyekiti wake ilivyo hivi sasa ya kua dhaifu sana, na mashtaka ya uhaini yanayomkabili. Ambapo huenda wanaopambana kuidhibiti CHADEMA, wamefanya utafiti, wamejiridhisha na wamejithibitishia kabisa kwamba, mwenyekiti wao taifa, hawezi kamwe kuchomoka korokoroni, na hata akichomoka hatakuwa na uwezo tena wa kuongoza CHADEMA, kwasababu ya hali yake physically and mentally ilivyo.
So drama iliyotokea juzi ni jitihada za viongozi makatili na wenye uchu wa madaraka ndani ya CHADEMA, za kuwatisha na kuwazuia watu wa karibu wa kiongozi huyo kibaraka anaesota korokoroni, kuaccess mipango yao na kinachoendelea pale CHADEMA HQ, na kisha kumpelekea information kibaraka korokoroni. Hii ni alert kwamba, watu wa karibu wa kibaraka muhaini anaesota korokoroni, hawatakiwi kabisa kukanyaga CHADEMA HQ, wala kuhudhuria vikao vya Chama hicho vinavyofanyika CHADEMA HQ.
Je, kwa mtazamo wako, unahisi ni nani na nani wanapambana na wanagombania kutwaa mamlaka kamili ya chadema taifa pale HQ na kumpindua kibaraka akiwa korokoroni?π
Mungu Ibariki Tanzania
Mnamnyima chakula kumdhoofisha.. lakini hamuwezi..Kibaraka muhaini anaesota korokoroni si ana minyoo sugu gentleman, chronic roundworms ambayo husababishwa na chronic stress, ama ulikua hujui hili?
Hukuona akitembea na contena la ubwabwa hadi mahakamani tena kizimbani kabisa? ana minyoo mikali sana.
Sasa, wanaonyukana kutwaa madaraka yake ndani ya CHADEMA, wameona kabisa muungwana kwa vyovyote vile hatoboi na ndio maana wanawatisha wasaidizi wake kwa drama useless kama ile ya juzi, ili wasisogee kabisa HQ mipango ya Mapinduzi inapofanywa na wahuni ndani ya chadema π
Ni wazi, huenda kinachochochea sarakasi na drama zinazoendelea ndani ya CHADEMA ni mapambano na vita vya kupindua na kunyakua mamlaka ya kitaifa ya chama hicho, kutokana na muonekano wa hali ya mwenyekiti wake ilivyo hivi sasa ya kua dhaifu sana, na mashtaka ya uhaini yanayomkabili. Ambapo huenda wanaopambana kuidhibiti CHADEMA, wamefanya utafiti, wamejiridhisha na wamejithibitishia kabisa kwamba, mwenyekiti wao taifa, hawezi kamwe kuchomoka korokoroni, na hata akichomoka hatakuwa na uwezo tena wa kuongoza CHADEMA, kwasababu ya hali yake physically and mentally ilivyo.
So drama iliyotokea juzi ni jitihada za viongozi makatili na wenye uchu wa madaraka ndani ya CHADEMA, za kuwatisha na kuwazuia watu wa karibu wa kiongozi huyo kibaraka anaesota korokoroni, kuaccess mipango yao na kinachoendelea pale CHADEMA HQ, na kisha kumpelekea information kibaraka korokoroni. Hii ni alert kwamba, watu wa karibu wa kibaraka muhaini anaesota korokoroni, hawatakiwi kabisa kukanyaga CHADEMA HQ, wala kuhudhuria vikao vya Chama hicho vinavyofanyika CHADEMA HQ.
Je, kwa mtazamo wako, unahisi ni nani na nani wanapambana na wanagombania kutwaa mamlaka kamili ya chadema taifa pale HQ na kumpindua kibaraka akiwa korokoroni?π
Mungu Ibariki Tanzania
huo ni upotoshaji useless gentleman,Mnamnyima chakula kumdhoofisha.. lakini hamuwezi..
Kumbuka wapambania haki huwa wanapitia misukosuko ni kama Nelson Mandela, Che , Lumumba n.k
Lissu ataandikwa kwenye vitabu vya historia, na akitoka huko inabidi mjipange..
Maana amekataa kuwauza Watanzania kwa kukubali hongo, amekataa unyonge, na yupo tayari kufa akitetea msimamo wake na haki.
Kwanini mnamuogopa?
Ni vile wazungu wamepiga kelele na wanafuatilia hili suala kwa ukaribu, pasip hivyo mngekwisha mlisha sumu..
Gentleman,Huenda.... Huenda.... Huenda... π
Gentleman!
Ni wazi, huenda kinachochochea sarakasi na drama zinazoendelea ndani ya CHADEMA ni mapambano na vita vya kupindua na kunyakua mamlaka ya kitaifa ya chama hicho, kutokana na muonekano wa hali ya mwenyekiti wake ilivyo hivi sasa ya kua dhaifu sana, na mashtaka ya uhaini yanayomkabili. Ambapo huenda wanaopambana kuidhibiti CHADEMA, wamefanya utafiti, wamejiridhisha na wamejithibitishia kabisa kwamba, mwenyekiti wao taifa, hawezi kamwe kuchomoka korokoroni, na hata akichomoka hatakuwa na uwezo tena wa kuongoza CHADEMA, kwasababu ya hali yake physically and mentally ilivyo.
So drama iliyotokea juzi ni jitihada za viongozi makatili na wenye uchu wa madaraka ndani ya CHADEMA, za kuwatisha na kuwazuia watu wa karibu wa kiongozi huyo kibaraka anaesota korokoroni, kuaccess mipango yao na kinachoendelea pale CHADEMA HQ, na kisha kumpelekea information kibaraka korokoroni. Hii ni alert kwamba, watu wa karibu wa kibaraka muhaini anaesota korokoroni, hawatakiwi kabisa kukanyaga CHADEMA HQ, wala kuhudhuria vikao vya Chama hicho vinavyofanyika CHADEMA HQ.
Je, kwa mtazamo wako, unahisi ni nani na nani wanapambana na wanagombania kutwaa mamlaka kamili ya chadema taifa pale HQ na kumpindua kibaraka akiwa korokoroni?π
Mungu Ibariki Tanzania
hiyo ndio siasa gentleman,Ukiona hivyo ujue kuna mamluki wanataka kuitwa chadema waiharibu isiwe na upinzani mkali kwa ccm