Huenda leo ndiyo ukawa mwisho wa Mjadala wa Feitoto kwani anarejea rasmi Yanga SC

Amevunja mkataba,kununua ni Jambo lingine. Acha kukariri kuvunja mkataba ni haki ya pande zote mbili,Ila Kwa mchezaji kuvunja mkataba imeonekana ni ajabu
Hujui kitu mkuu, kuna vitu viwili hapo temination cause na buy out clause sasa fei kapita kwenye buy out, zaidi ya hapo kumrudisha ni kina mwigulu na jk waongee na dogo lkn akisimika hamna kitu mtamfanya,, wewe ndio usikariri masuala ya terms za mikataba kama hujui unyamaze.
 
Muulizeni morrison awasaidie si mnae hapo mkikurupuka na kwa fei mnapigwa tena....😀😀
 
Wewe bado kinda kwenye haya mambo. Huelewi siasa za mpira ipo siku utkuja kuelewa tu. Hicho unachosema hakiwezi kutokea hizi timu zinajuana vizuri sana wewe unazungumza kirahisi tu napo ni kwa sababu huelewi jinsi mambo yanavyoenda
 
Mzee Bharessa anapiga simu moja kwa Mwinyi Zanzibar, Mwinyi anapiga kwa sister Dom, then tamko moja tu toka ikulu linatua jangwani kwamba wacheni kumsumbua dogo ameshapata timu nyengine
Labda Mwinyikambi au Mwinyi gogo lakini Mwinyi namba 1 wa Zanzibar na baba yake ni WANANCHI lia lia.
 
but my friend,fei hataweza kucheza vyema yanga,he is finished na hata wenzie hawatampa ushirikiano tena
Kuna baadhi ya wachambuzi wa mchongo washabiki wa SeMBe walisema hivi hivi kwa Aziz Kii kuhusu ushirikiano na wachezaji wenzake kwa sababu ya hayo hayo maslahi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…