ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Sawa Mbumbumbu umesikikaHuo ushahidi wenu TFF wakichezea hizo documents mliuweka wapi?
Kwa Morisson mlipigwa, na hata kwa Feisal napo mngepigwa tena, nyie ni mbumbumbu wa mikataba ya wachezaji wenu.