Huenda Lissu ni masihi (mkombozi) wa siasa za uongo Tanzania

Huenda Lissu ni masihi (mkombozi) wa siasa za uongo Tanzania

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,104
Reaction score
1,924
Mimi siyo mdau sana wa harakati za kisiasa, lakini kwa kipindi hiki, nchi yote haswa vijana na watu wazima wamejikuta wakifuatilia siasa.

Siyo kwasababu ya mwaka wa uchaguzi, bali nguvu iliyoamushwa na Tundu Lisu. Wakati anaanza kupaza sauti za no reform no election, wengi hatukujali saaana ikiwemo serikali na CCM. Baada ya moto huu kuwaka, wakaona isiwe tabu, wakamfungiana rock up.

Akaibuka Heche, mpaka sasa serikali na CCM inatembea kwenye mfumo wa no reform no election kiasi kwamba hata taarifa za bunge, serikali na mambo mengine ya kimaendeleo hayazungumziwi sana labda kidogo sakata la Yanga na viongozi wa mpira.

Bunge hata halifuatiliwi sana wakati ndiyo chombo Cha wananchi. Selikali imefikia mahali inajibia masuala ya no reform no election. Kwanini imekuwa hivi?

Nadhani nikwasababu ya kumshikilia Lissu. Nilitarijia kuona hamasa za free Lisu lakini wafuasi wake hata hawamzungumzii lakini ndiyo kwanza chama chake kinazidi kuzungumziwa kwenye vyombo vya habari.

Watu wa karba hii, wana nguvu ya kiroho. Naamini mpaka kufikia uchaguzi mwezi October, kutakuwa na mabadiliko ya kisiasa nchini Tanzania.

Huenda Rais akatoka CCM lakini mshindi akawa Lisu, nikimaanisha kutakuwa na REFORM kubwa kwenye siasa zetu. Keep waiting
 
Mtu amepona kwenye risasi 30 huyo sio mtu wa kawaida ni vile kushupaza Shingo
 
Back
Top Bottom