Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Kula kwa jasho au chimba unyeMadrid tumefungwafungwa na Barcelona na mpira wanacheza wao bodi ikakaa ikatafuta kocha mzoefu na kusajiri wachezaji bora kwenye mashindano yote hata UEFA sikusikia sijui Perez ni pandikizi la Barcelona zaidi zaidi kuongelea mapungufu yake...
Sisi waruguru sasa timu mbovu isifungwe kosa atapewa hata mpika vitumbua huko Chalinze..
Mbumbumbu FC hawajui nani mzuri nani mbayaMbona mnatuchanganya! Tumlinde nani sasa kwa wivu mkubwa? Mangungu, Magori au Mwekezaji?
Sasa kama jana pale uwanjani alikua anacheza Magori au Mangungu.Madrid tumefungwafungwa na Barcelona na mpira wanacheza wao bodi ikakaa ikatafuta kocha mzoefu na kusajiri wachezaji bora kwenye mashindano yote hata UEFA sikusikia sijui Perez ni pandikizi la Barcelona zaidi zaidi kuongelea mapungufu yake...
Sisi waruguru sasa timu mbovu isifungwe kosa atapewa hata mpika vitumbua huko Chalinze..
Magori ndiyo amesajili haya magalasa.Kama utascroll kidogo kwenda chini utaona uzi mpya unamlaumu mangungu kwamba ni puppet wa yanga pale simba!!!
Wewe unaleta wa cresent!! Sio muda mtaleta wa MO...
Hebu mkubali matokeo na maisha yaendelee
Tupunguze udumavu mkuu..Sasa kama jana pale uwanjani alikua anacheza Magori au Mangungu.
NB:Mambo nje ya uwanja yana athari pia ndani ya uwanja.
Magori kamleta Kasari, kamleta Doumbia, hili ni tapeli la Yanga.Siamini kama Magori ni pandikizi la Yanga. Lakini naamini Magori anapenda sana mpira na anaipenda sana Simba lakini mpira haujui na hata wachezaji wazuri wenye viwango hajui kabisa. Na hata sajili zake anaangalia zaidi takwimu za mchezaji na clip kuliko kumuona mchezaji halisi. Mfano mmoja tu Doumbia kwao alifunga magoli mengi sana kwao lakini karibia yote yalikuwa ya penati na vichwa tena free header. Mtu yoyote anayeujuwa mpira hata angeangalia tu clip za Doumbia kabla hajamuona uwanjani katu abadani hawezi kumsajili.
Mchezaji kama huyo unamleta kwenye ligi ambayo mabeki hata wa timu ndogo hawakupi hiyo nafasi ya kuruka mwenyewe ufunge. Na hata kuruka kwenyewe tu shida maana jana kuna krosi mbili kashindwa kabisa hata kuruka afunge. Lile umbo lake halina faida yoyote. Na kwa hili Simba wasione aibu wakubali tu hasara wamtoe kwa mkopo wasajili mshambuliaji mwingine.
Na kitendo cha MO kuendelea kumkumbatia Magori ndio anguko lake linakuja muda si mrefu maana wanasimba washaanza kuwachoka tajiri na chawa wake. Kwa aliye karibu na Mo amshtue kuwa aidha amtose au waende wote.
Kumleta Kasali wala haikuwa shida sana maana ilikuwa ni dharura wakati Camara alikuwa ameumia. Dhambi ambayo hatasemehewa Magori na wanasimba ni kitendo chake cha kumuongezea mkataba Kasali wakati mapungufu yake yalionekana kabla hata ligi haijaisha.Magori kamleta Kasari, kamleta Doumbia, hili ni tapeli la Yanga.
Unasema Madrid baada ya kufungwa walikaa chini wakaleta kocha bora na kusajili wachezaji bora hili unaona linafanyika Simba. Kina Doumbia, Mwanfosi ni wachezaji bora.Madrid tumefungwafungwa na Barcelona na mpira wanacheza wao bodi ikakaa ikatafuta kocha mzoefu na kusajiri wachezaji bora kwenye mashindano yote hata UEFA sikusikia sijui Perez ni pandikizi la Barcelona zaidi zaidi kuongelea mapungufu yake...
Sisi waruguru sasa timu mbovu isifungwe kosa atapewa hata mpika vitumbua huko Chalinze..
HahahaahaMnamkosea sana Doumbia.
Huyo anaitwa Ibraim Zlatan Osimhen Doumbia.
Streka la kuagiza online na kufanyiwa delivery.
Nimekuunga makono hapo kuomyesha pale jana hakucheza mangungu au Magori ila pia nimesema mambo ya nje ya uwanja yana athari ndani.ya uwanja pia. Shida ya Simba inaanzia nje ya uwanja.Tupunguze udumavu mkuu..