Nimekuunga makono hapo kuomyesha pale jana hakucheza mangungu au Magori ila pia nimesema mambo ya nje ya uwanja yana athari ndani.ya uwanja pia. Shida ya Simba inaanzia nje ya uwanja.
Mfano kwa golikipa Kassali msimu jana aliletwa kwa dharura lakini alishaonekana ana makosa mengi sana ajabu akapewa mkataba mpya na wala hawakujishughulisha na hilo eneo kabisa ,,,hapo ndo unaona namna vipngozi hawapo series na nakuhakikishia Hawa wakina Aura na Libasse msimu huu ndo utakua wa mwisho kua Simba. Professional fooboller hawapendagi ubabaishaji.