Huenda Magori ni Pandikizi la Yanga pale msimbazi?

Nimekuunga makono hapo kuomyesha pale jana hakucheza mangungu au Magori ila pia nimesema mambo ya nje ya uwanja yana athari ndani.ya uwanja pia. Shida ya Simba inaanzia nje ya uwanja
Uko sahihi mkuu.
 
Basi viongozi wamsajili Caesar Manzoki badala ya huyu Doumbia ili kukata kiu ya mashabiki. Kuna wakati mwenyekiti Mangungu alishinda uchaguzi kirahisi kwa sababu tu ya kumleta huyu mwamba awasalimie wanachama siku ya uchaguzi.
 
Basi viongozi wamsajili Caesar Manzoki badala ya huyu Doumbia ili kukata kiu ya madhabiki. Kuna wakati mwenyekiti Mangungu alishinda uchaguzi kirahisi kwa sababu tu ya kumleta huyu mwamba awasalimie wanachama siku ya uchaguzi.
Huyo Manzoki Magori alitumwa mara mbili Uganda akawa anarudi na stori tu anasbiri mwamba amalize mkataba amchukue bure. Kumbe jamaa walikuwa mbele ya muda wakamuuza China kabla mkataba haujaisha ikabaki stori tu.
 
Basi viongozi wamsajili Caesar Manzoki badala ya huyu Doumbia ili kukata kiu ya madhabiki. Kuna wakati mwenyekiti Mangungu alishinda uchaguzi kirahisi kwa sababu tu ya kumleta huyu mwamba awasalimie wanachama siku ya uchaguzi.
Magori ndio alikwamisha hii dili
 
JAPO SIKUHIZI SIPENDI KUONGELEA MASUALA YA MPIRA LAKINI ANAYEFANYA SAJILI HIZI HAFAI KABISA NDANI YA SIMBA. ANAIANGAMIZA SIMBA.

1. Golikipa hatoshi.(Lete Kamala)
2. Tafuta beki wa kushoto (kata maema)
3. Tafuta kiungo No 6
(Kata katleso)
4. Tafuta Mshambuliaji No 9
(Kata DUMBIA).

Baadhi ya Mashabiki ni Wajinga wanamlalamikia Mangungu
 
Kama utascroll kidogo kwenda chini utaona uzi mpya unamlaumu mangungu kwamba ni puppet wa yanga pale simba!!!
Wewe unaleta wa cresent!! Sio muda mtaleta wa MO...
Hebu mkubali matokeo na maisha yaendelee
Inadaiwa na MO ni pandikizi la Yanga.
 
Daah samahani sana Mkuu nimesoma huku nikiwa na mawenge ya kutokuelewa hapa nimekuelewa vizuri..
 
Unasema Madrid baada ya kufungwa walikaa chini wakaleta kocha bora na kusajili wachezaji bora hili unaona linafanyika Simba. Kina Doumbia, Mwanfosi ni wachezaji bora.
Nazungumzia Yanga hao Simba watajijua wenyewe mkuu upo mwaka waliletewa Manzoki kupiga kura na akaenda Dubai sidhani kama huu ujinga utawafanyia Yanga inagawaje wale ni kurwa na dotto..
 
Umechambua vzr sana na huu ndo ukweli
 
Kuwa mswahili ni shida sana na Ingekuwa kwamba mtu anaamua wapi azaliwe basi sidhani kama waswahili wangekuwepo duniani.

The Africans have the excuse for every mistake they make, they never admit failure.
 
Kila mwanasimba ni zao au pandikizi la Yanga acheni kushikana uchawi nyote ni Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…