Huenda Man City wakawa na Mechi kila Katikati ya Wiki mpaka Mwisho wa Ligi....

Huenda Man City wakawa na Mechi kila Katikati ya Wiki mpaka Mwisho wa Ligi....

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
15,460
Reaction score
24,233
Wakimfunga Bayern Keshokutwa huenda Man City wakawa na Mechi bandika Bandua kila katikati ya Wiki na hapo kuna kiporo cha Brighton ambacho hakijapangiwa Siku (na ukiangalia siku ambayo itakuwa imebaki ni Jtano ya wiki kabla ya mechi ya mwisho)

wakati wenzao wa North London game ni chache.... Anything can Happen....

Remaining fixtures
ArsenalMan City
Bayern Munich (a - Champions League QF) 19 April
Southampton (h) 21 April
Sheffield United (FA Cup semi-final) 22 April
Man City (a) 26 AprilArsenal (h) 26 April
Fulham (a) 30 April
Chelsea (h) 2 May
West Ham (h) 3 May
Newcastle (a) 7 MayLeeds (h) 7 May
Potential CL semi-final 9/10 May
Brighton (h) 14 MayEverton (a) 14 May
Potential CL semi-final 16/17 May
Nottingham Forest (a) 20 MayChelsea (h) 20 May
Wolves (h) 28 MayBrentford (a) 28 May
Brighton (a) TBC because of FA Cup participation
Potential FA Cup final 3 June
Potential CL final 10 June
 
"Kosa la arsenal ni kukaaa muda mrefu bila kucheza ...."


Watu wa psychology ndio wanaweza kuelewa
Huo ni muda mrefu wakati kila wikiendi wanacheza (siku saba) wakati wenzao kwa siku saba game mbili (na sio game tu bali nyingine ni cup competition) In short hii ni balaa hakuna muda wa ku-recuperate....
 
Spurs anamuweza City namaanisha
Unajua Timu ambayo haipendi mafanikio ya Arsenal kuliko Timu yoyote ile..... (Welcome to North London Derby)..., Hakuna Shabiki wa Spurs atakayefurahia Ushindi wa Gunners bora achukue yoyote yule

Pili tukiangalia H2H City na Spurs

In the ENG Premier League, the two teams played a total of 27 games before, of which Tottenham Hotspurs won 10, Manchester City won 13 and the two teams drew 4.
 
Mwaka wetu huu CITIZENS
UCL & EPL
hallah [emoji170][emoji170][emoji170]
 
Mkuu unasupport timu ya mbaguzi?Pep kamuaribia sana Raheem Sterling. Ni nyota iliyozimwa. Raheem angeenda mbali. Simpendi Pep.



mkorea @waeed
Hata Jesus kaizima mnoo, Pep ni mbaguzi wala bila ubishi, huyu baba akikuchukia mchezaji atahakikisha anakuzima kabisaaa.

To be the honest, simpendii Pep.
Ila Citizens naipenda.
 
Back
Top Bottom