Huenda Man City wakawa na Mechi kila Katikati ya Wiki mpaka Mwisho wa Ligi....

Huenda Man City wakawa na Mechi kila Katikati ya Wiki mpaka Mwisho wa Ligi....

Unajua Timu ambayo haipendi mafanikio ya Arsenal kuliko Timu yoyote ile..... (Welcome to North London Derby)..., Hakuna Shabiki wa Spurs atakayefurahia Ushindi wa Gunners bora achukue yoyote yule

Pili tukiangalia H2H City na Spurs

In the ENG Premier League, the two teams played a total of 27 games before, of which Tottenham Hotspurs won 10, Manchester City won 13 and the two teams drew 4.
Inategemea... Je kama wanakutana spurs Vs city huku spurs anatafuta kufuzu UCL unafikiri City angepona?....Kwa ufupi arsenal Ajutie mechi alizo draw home na atumie hiyo Agony ku-make changes hasa atakapokutana na city Etihad. Kibarua kizito hichi[emoji16]
 
Hata Jesus kaizima mnoo, Pep ni mbaguzi wala bila ubishi, huyu baba akikuchukia mchezaji atahakikisha anakuzima kabisaaa.

To be the honest, simpendii Pep.
Ila Citizens naipenda.
Jesus kwenda Arsenal tena kwa bei ile ilikuw faida kubwa sana kwa Jesus; Kumbuka huo ulikuwa mwaka wa World Cup na kwenda kwake Arsenal angecheza games zote City angecheza chache hivyo nafasi yake Timu ya Taifa kuwa hatarini...., City wangeweza kuamua kukaa nae kwenye vitabu bila kumuuza na akakaa Bench;

Kwahio Jesus needs to thank his lucky stars (Kuna wengi wamekaa mkeka, kuuzwa huuzwi na unazeekea Bench, hence ukiuzwa nenda kafanye yako huko ulipouzwa)
 
Back
Top Bottom