Huenda Man City wakawa na Mechi kila Katikati ya Wiki mpaka Mwisho wa Ligi....

Inategemea... Je kama wanakutana spurs Vs city huku spurs anatafuta kufuzu UCL unafikiri City angepona?....Kwa ufupi arsenal Ajutie mechi alizo draw home na atumie hiyo Agony ku-make changes hasa atakapokutana na city Etihad. Kibarua kizito hichi[emoji16]
 
Hata Jesus kaizima mnoo, Pep ni mbaguzi wala bila ubishi, huyu baba akikuchukia mchezaji atahakikisha anakuzima kabisaaa.

To be the honest, simpendii Pep.
Ila Citizens naipenda.
Jesus kwenda Arsenal tena kwa bei ile ilikuw faida kubwa sana kwa Jesus; Kumbuka huo ulikuwa mwaka wa World Cup na kwenda kwake Arsenal angecheza games zote City angecheza chache hivyo nafasi yake Timu ya Taifa kuwa hatarini...., City wangeweza kuamua kukaa nae kwenye vitabu bila kumuuza na akakaa Bench;

Kwahio Jesus needs to thank his lucky stars (Kuna wengi wamekaa mkeka, kuuzwa huuzwi na unazeekea Bench, hence ukiuzwa nenda kafanye yako huko ulipouzwa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…