The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Mkizingua tunamuita madrid tenaSema Nini mkuu wewe ni shabiki wa man city ni vile ty hujajitambua vzuri ,njoo kwenye Uzi wetu kule Kuna mbwa nyingi za liverpool zinanizidia kabisa ,
Man city tunaendelea kukiwasha epl ,na jumapili tunaenda kumchalanga Newcastle
Wewe sio shabiki wa Real Madrid, mashabiki hawana huruma za namna hii.Aisee hii comeback ya R.Madrid sijawahi kuiona.Binafsi ni shabiki wa Real Madrid ila nilitamani mwaka huu Manchester City wachukue hili kombe maana wamekuwa Wana struggle Sana kwa miaka nenda Rudi.
Yes, kwa kweli Manchester City wame - face the very painful experience huko Madrid jana..Uzoefu mkuu,
Timu imejaa Watoto wengi,
Walijua game imeisha tayari
Dkk 2 tu zikabadilisha kila kitu ubaoni
Extra time ndipo upepo ukakata kabisaView attachment 2212137View attachment 2212138
Liverpool Hana uwezo hata WA Kuchukua hayo makombe 4 ,ataambulia mawili tu ..!Yes, kwa kweli Manchester City wame - face the very painful experience huko Madrid jana..
Na ni kweli kabisa Madrid experience inaweza kuwatoa kwenye mood japo hata kabla ya hili ubingwa wa EPL bado ulikuwa 50/50 dhidi ya contender wao number 1 Liverpool FC....
Najaribu kusoma mara mbili mbili ila bado sijaelewa ulichoandika!Hapa ndipo tujifunze kwamba kwann boss wa real Madrid hataki ligi hii Mana Kama club inaona Haina maana inakosa upinzani na maisha yamebadilika hela yake ndogo
Unamfahamu Perez boss wa timu real Madrid Kama ndio kunajambo aliliazisha kutaka timu kubwa ziwe na ligi yakeNajaribu kusoma mara mbili mbili ila bado sijaelewa ulichoandika!
Mechi zilizosalia za city moja atatoka draw na Liverpool atashinda zote na kuwa bingwa.Liverpool anaweza kufanya maajabu akapiga treble.
Umeona ee. Sijui jamaa kaandika nini.Najaribu kusoma mara mbili mbili ila bado sijaelewa ulichoandika!
Jamaa kaandika mbele nyuma, nyuma mbele😄Najaribu kusoma mara mbili mbili ila bado sijaelewa ulichoandika!