Huenda Manchester City wakashindwa kutwaa hata EPL kwa kuvunjika moyo na matokeo ya UCL

Huenda Manchester City wakashindwa kutwaa hata EPL kwa kuvunjika moyo na matokeo ya UCL

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
19,582
Reaction score
14,167
Kitendo cha Manchester City kutolewa kwenye mashindano ya UCL kimewavunja moyo Sana kiasi kwamba huenda wakashindwa hata kuwa mabingwa wa EPL.

Inaumiza Sana ,ikiwa kila Takwimu zinawabeba,mumetangulia kwa goli hadi dakika ya 90 eti dakika za nyongeza mnafungwa magoli 3 na kutolewa.

Aisee hii comeback ya R.Madrid sijawahi kuiona.Binafsi ni shabiki wa Real Madrid ila nilitamani mwaka huu Manchester City wachukue hili kombe maana wamekuwa Wana struggle Sana kwa miaka nenda Rudi.

Ukisikia kwamba mpira ni ukatili ndio kama hivi sasa.

Wasipokaa sawa kisaikolojia wataipa Liverpool chance ya kuweka historian ambayo ni nadra Sana kutokea Duniani.

By the way Bora UCL title achukue Real Madrid .
 
Uzoefu mkuu,
Timu imejaa Watoto wengi,
Walijua game imeisha tayari
Dkk 2 tu zikabadilisha kila kitu ubaoni
Extra time ndipo upepo ukakata kabisa

IMG_20220505_040147.jpg
IMG_20220505_022327.jpg
 
wewe unatamanije adui yako ashinde ,unafkiri hili kombe wanapeana kwa huruma ,yani wewe sio shabiki wa madrid unaidandia tu .mtu amtoe PSG ,amtoe Chelsea kwa tabu afu uje umuombee apigwe semi final.shabiki maandazi kabisa
 
Sema Nini mkuu wewe ni shabiki wa man city ni vile ty hujajitambua vzuri ,njoo kwenye Uzi wetu kule Kuna mbwa nyingi za liverpool zinanizidia kabisa ,

Man city tunaendelea kukiwasha epl ,na jumapili tunaenda kumchalanga Newcastle
 
Sema Nini mkuu wewe ni shabiki wa man city ni vile ty hujajitambua vzuri ,njoo kwenye Uzi wetu kule Kuna mbwa nyingi za liverpool zinanizidia kabisa ,

Man city tunaendelea kukiwasha epl ,na jumapili tunaenda kumchalanga Newcastle
Mkizingua tunamuita madrid tena
 
Hapa ndipo tujifunze kwamba kwann boss wa real Madrid hataki ligi hii Mana Kama club inaona Haina maana inakosa upinzani na maisha yamebadilika hela yake ndogo
 
Uzoefu mkuu,
Timu imejaa Watoto wengi,
Walijua game imeisha tayari
Dkk 2 tu zikabadilisha kila kitu ubaoni
Extra time ndipo upepo ukakata kabisaView attachment 2212137View attachment 2212138
Yes, kwa kweli Manchester City wame - face the very painful experience huko Madrid jana..

Na ni kweli kabisa Madrid experience inaweza kuwatoa kwenye mood japo hata kabla ya hili ubingwa wa EPL bado ulikuwa 50/50 dhidi ya contender wao number 1 Liverpool FC..

Sasa possibility ya LIVERPOOL FC kuzoa makombe manne msimu huu (quadruple) Carabao, FA, EPL, UCL imekuwa ignited kwa 80%...

Tayari wameshatia kwenye kabati kombe moja la ligi (Carabao); wako Fainali ya FA na Chelsea FC; wako kwenye fainali ya UCL na Real Madrid na ni toe to toe na Man City kwenye EPL kwa tofauti ya point 👉👉 1 huku game 4 zikiwa zimebakia na City akiwa ameshavurugwa na kuchanganywa na matokeo ya MADRID jana ..
 
Yes, kwa kweli Manchester City wame - face the very painful experience huko Madrid jana..

Na ni kweli kabisa Madrid experience inaweza kuwatoa kwenye mood japo hata kabla ya hili ubingwa wa EPL bado ulikuwa 50/50 dhidi ya contender wao number 1 Liverpool FC....
Liverpool Hana uwezo hata WA Kuchukua hayo makombe 4 ,ataambulia mawili tu ..!
 
Kuna timu zina mikosi ni hii Manchester city na huyo kocha wao
 
Back
Top Bottom