The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Kitendo cha Manchester City kutolewa kwenye mashindano ya UCL kimewavunja moyo Sana kiasi kwamba huenda wakashindwa hata kuwa mabingwa wa EPL.
Inaumiza Sana ,ikiwa kila Takwimu zinawabeba,mumetangulia kwa goli hadi dakika ya 90 eti dakika za nyongeza mnafungwa magoli 3 na kutolewa.
Aisee hii comeback ya R.Madrid sijawahi kuiona.Binafsi ni shabiki wa Real Madrid ila nilitamani mwaka huu Manchester City wachukue hili kombe maana wamekuwa Wana struggle Sana kwa miaka nenda Rudi.
Ukisikia kwamba mpira ni ukatili ndio kama hivi sasa.
Wasipokaa sawa kisaikolojia wataipa Liverpool chance ya kuweka historian ambayo ni nadra Sana kutokea Duniani.
By the way Bora UCL title achukue Real Madrid .