Huenda mgogoro wa Kidiplomasia ukaanza kati ya Tanzania na Malawi baada ya uboreshaji wa Bandari ya Mbamba Bay kuanza

Mbona hawadai upande wa Msumbiji
Maana nayo imepakana na hilo ziwa.
 
Anglo-German treaty ni mkataba wakihuni, walisaini wahuni wawili...
Hata Berlin Comference ulikuwa ni mkutano wa wahuni kujigawiwa bure bure, kienyeji, kiwizi na kitapeli maeneo ya Afrika, lakini kupitia comference hiyo hiyo ndio ikaifanya Tanganyika (Tanzania!) kumiliki mlima Kilimanjaro.
 
Mkataba wa umiliki wa Ziwa Nyasa ni mtata sana, na tukisema mkataba wa Kikoloni utumike vile vile ulivyo basi lile ziwa litafutika!

Ni kweli, kimkataba (toka mkoloni) Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi kwa 100%. Lakini linapakana na nchi kadhaa ambapo kimataifa mpaka unapaswa kupita katika ya ziwa. Hilo ni jambo dogo, issue kubwa ni mito na mikondo mikubwa ya maji inayolijazwa na kulipa uhai lile ziwa inatokea Tanzania, hivyo siku Tanzania ikikosa umiliki wa lile ziwa inaweza kuamua kulikausha!!!
 
Wanataka tukienda kuvua dagaa wa Nyasa twende na passport?

Tupo tayari kuingia vitani kuliko kuwaachia ziwa lote
Mkuu mazungumzo ni njia bora zaidi; vita havina tija - ona mambo yalivyo mabaya huko Israel na Hamas au Urusi na Ukraine. Vita havina macho.
 
Mkuu hivi kuanzia mpaka wa bahari wa Tanzania bar hadi Zanzibar ni km ngapi?
 
The late membe na mahiga walikuwa wasuluhishi Kama sijakosea
 
Hata Berlin Comference ulikuwa ni mkutano wa wahuni kujigawiwa bure bure, kienyeji, kiwizi na kitapeli maeneo ya Afrika, lakini kupitia comference hiyo hiyo ndio ikaifanya Tanganyika (Tanzania!) kumiliki mlima Kilimanjaro.
CCM hafai kuliongoza taifa
 
Nimefurahi kuona hii comment😂😂😂😂😂🫶🫶🫶
 
Huwa tuna sema Sheria yeyote ifuate Katiba, sasa katika suala la mkataba Tata wa hegoland na Sheria ya bahari, na nchi zinapo pakana na maji , ipi inakuwa juu ya nyingine. Haiwezekani maji yapo mdomoni kwako , lakini huwezi kuyanywa au kutumia Kwa usafiri mpaka uitaarifu Malawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…