Tetesi: Huenda mikutano ya CHADEMA mikoani ikasitishwa wakati wowote kuanzia sasa

wewe mwenye ufahamu,
hebu eleza tone tone kwenye kibakuli imechangwa kiasi gani dodoma na Kilimanjaro?
Ni aibu ndio maana hakuna uwazi gentleman 🐒
Zile ni hela zimetolewa na wananchi sio za wizi mliozoea kuiba
 
NO REFORMS NO ELECTION
 
Zile ni hela zimetolewa na wananchi sio za wizi mliozoea kuiba
kiasi gani hata kifanye Chadema kujiandaa kusitisha mikutano yao nonsense kwa kukosa pesa?🐒
 
Nitawachangia
 
Vijana wa hovyo sana hawa wanaolipwa 5K na CCM, chadema haitashiriki uchaguzi lakini kila siku mnakiandama simply because wananchi wanakielewa mfano jana wamechangiwa sadaka ya Ukombozi TSh 2.76M,
Hawa Academically Dwarfs mnaolipwa 5K ili msaliti wananchi na kuwateka na kuwaua watu, Mwenyezi Mungu awashushie laana
May CCM be cursed and never see light of the day!!!!
 
Nitawachangia
licha ya kwamba ana beti sana,
but nashauri umchangie heche moja kwa moja kwasababu ndio anapitia wakati mgumu zaidi kiuchumi na kimaisha 🐒
 
Mjinga mkubwa wewe usiye na akili hata kidogo, acha kujaza takataka server za watu kisa umetumwa na wapumbavu wenzio
relax mjanja usie na hoja,
una mbwelambwela tu na kusumbua wadau wa JF na mihemko nonsense kabisaa 🐒
 
Iko hv Maumivu yakizidi, mgonjwa huanza kujieleza kwa lugha ya adui.

Anajua fika kuwa habari ya ukata wa Chadema ndiyo inamletea engagement nyingi mitandaoni. CCM ikifanya mikutano 100, hakuna anayepost; Chadema ikikosa nauli ya basi, basi habari hiyo ita trend wiki 3.

Huu ni uthibitisho kwamba Chadema bado inabeba attention ya kitaifa – kwa wafuasi wake na hata "wapinzani wanaojifanya wasemaji Wa CDM Kama wewe.

Katika taaluma ya Political Communication, tunafahamu kwamba “issue framing” ni silaha kubwa ya vyama vya siasa. Ukiona msemaji wa chama A anazungumza zaidi kuhusu chama B kuliko mafanikio ya chama chake, basi ujue framing ya chama B imefanikiwa. Siasa ni perception, na perception ya Chadema iko juu mpaka wapinzani wao wanajikuta kwenye “PR internship” ya bure ambayo Mh. Tlaatlaah una practice kwa sasa.
 

View: https://www.instagram.com/reel/DKpcSJeNKJo/?utm_source=ig_web_copy_link
 
kwahiyo Chadema wanafanya mikutano ya injili gentleman right?
Anaetunza sadaka ni mchungaji lema au heche, maana Mnyika ni mpole Lakini kwenye pesa haaminiki kabisa sijui kwanini mzee wa novena yule dah!🐒
 

NO REFORM NO ELECTION.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…