mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,894
- 22,679
Najaribu kuwaza tu asubuhi hii hapa. Pengine ni matokeo ya mihemko ya kimwili ya wazazi wetu ikapelekea mimba zetu zikatungwa. Hawakutarajia. Labda washua wetu walikuwa na ile mentality ya "Hit n Run". Na mama zetu walikuwa na ile mentality ya "Nakupa tu kwa leo ila sitaki mazoea"😅😅🤣. Paap ikanasa.. huenda mimba zetu zilitungiwa vichakani, kwenye mapagale,uchochoroni, guesthouse na sehemu ambazo hazielezekiðŸ¤.