😛Ebu fikiria mama yako alidangwa mpaka ukazaliwa .Mimi ni mmoja wapo ambaye sikupatiwa baba bora
Inasikitisha sana ila natamani kubadilisha huyu baba😛Ebu fikiria mama yako alidangwa mpaka ukazaliwa .
Nje ya mada,najua haiwahusu lakini nina usingizi kinyama hapa