So maanake sie tulipangwa kuzaliwa😃😅Hakika.🤣
Kwakweli mambo yao tuwaachie wenyewe😃Wewe huwezi jua ukweli ..hawawezi kukwambia
Yaani hiyo mtoto akiambiwa hivyo ..inamuathiri sana kisaikolojia.. inamfanya mtoto ajihisi "I'm not Belonging"Mwingine anapata mimba mpaka anazaa ,anakuja kusema eti hakumpatia mwanae baba bora 😅😅...Uzinzi una mateso Mpaka anayezaliwa anateseka.
Mbona maswali magumu na ya huzuni?!!Una maanisha hatuna hofu ya Mungu na hatujali Binadamu wenzetu kama wanastahiri Heshima na utu?!!!Najaribu kuwaza tu asubuhi hii hapa. Pengine ni matokeo ya mihemko ya kimwili ya wazazi wetu ikapelekea mimba zetu zikatungwa. Hawakutarajia. Labda washua wetu walikuwa na ile mentality ya "Hit n Run". Na mama zetu walikuwa na ile mentality ya "Nakupa tu kwa leo ila sitaki mazoea"😅😅🤣. Paap ikanasa.. huenda mimba zetu zilitungiwa vichakani, kwenye mapagale,uchochoroni, guesthouse na sehemu ambazo hazielezeki🤭.View attachment 3324953
Eeeeh hili nimewahi kuwaza piaNajaribu kuwaza tu asubuhi hii hapa. Pengine ni matokeo ya mihemko ya kimwili ya wazazi wetu ikapelekea mimba zetu zikatungwa. Hawakutarajia. Labda washua wetu walikuwa na ile mentality ya "Hit n Run". Na mama zetu walikuwa na ile mentality ya "Nakupa tu kwa leo ila sitaki mazoea"😅😅🤣. Paap ikanasa.. huenda mimba zetu zilitungiwa vichakani, kwenye mapagale,uchochoroni, guesthouse na sehemu ambazo hazielezeki🤭.View attachment 3324953
Mimi ni mmoja wapo ambaye sikupatiwa baba boraMwingine anapata mimba mpaka anazaa ,anakuja kusema eti hakumpatia mwanae baba bora 😅😅...Uzinzi una mateso Mpaka anayezaliwa anateseka.
Uko sahihi mkuuUwe walipanga au hawakupanga, wewe jua tu lolote linaweza kukupata.
Kinachotakiwa tupunguze idadi ya watoto au tuache kuzaa