Huenda Mkoa wa Morogoro ukagawanywa na kuwa mikoa miwili; Morogoro na Kilombero

Hata Sina kinyongo

Senior Member
Joined
May 16, 2020
Posts
118
Reaction score
280
Duru toka Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa zinatabanaisha kuwa Mkoa wa Morogoro huenda ukagawanywa na kuwa mikoa miwili kwa maana ya Mkoa wa Morogoro na Mkoa wa Kilombero.

Inasemekana makao makuu ya mkoa mpya wa Kilombero yatakuwa IFAKARA MJINI na utakuwa na wilaya nne nazo ni Wilaya ya ULANGA, wilaya ya MBINGU, Wilaya ya MALINYI na Wilaya ya IFAKARA.

Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
 
Kwakuwa Inzile na Gweregwere wapo wengi ningeomba waigawe mikoa yote tuwe na majimbo hata 700 ili makalai na ng'ombe wasio na mikia wapewe SUB.
 
Duru toka Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa zinatabanaisha kuwa Mkoa wa Morogoro huenda ukagawanywa na kuwa mikoa miwili kwa maana ya Mkoa wa Morogoro na Mkoa wa Kilombero.

Inasemekana makao makuu ya mkoa mpya wa Kilombero yatakuwa IFAKARA MJINI na utakuwa na wilaya nne nazo ni Wilaya ya ULANGA, wilaya ya MBINGU, Wilaya ya MALINYI na Wilaya ya IFAKARA.

Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Huo mkoa ni mkubwa balaa. Nimebahatika kuutembea kwa kiasi fulani ,ni haki waugawe tu.

I'll be back
 
Back
Top Bottom