feisar wa moro
JF-Expert Member
- Mar 17, 2020
- 371
- 865
Kweli hiyo ifakala ni yangu sahihi ni ifakara
Kweli hiyo ifakala ni yangu sahihi ni ifakara
Kilometa 800 hapo sio kweliNi busara sana kwani ukiangalia makao makuu ya mkoa hadi ufike Malinyi utaona kuna kilometa kama 800 na makao makuu yapo karibu na mkoa wa pwani na Malinyi ipo karibu na Mkoa wa Ruvuma Songea yaani ukifika huko na ukiambiwa ni bado uko Morogoro unashangaa mkoa ni mkubwa kama Urusi.
Naunga mkono hoja ya Morogoro kugawanywa Mara mbili.ni Mkoa mkubwa Sana. Haiwezekani Mkoa mmoja utumie saa 12 kumaliza. Pili kilombero itakua kupita Morogoro Mjini kwani inarasilimali nyingi mfano mabonde yenye rutuba,hifadhidhi nzuri uduzungwa na selou. Madini ya ulanga na miti ya mitiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko Mbele Sana Yaani Juu Kama KileleniHuko wilaya ya mbinguni kukoje. Kwa anayejua tafadhali
Gawa mikoa hadi nyumba kumi iwe mkoa ili kila nyumba ipate RC.Duru toka Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa zinatabanaisha kuwa Mkoa wa Morogoro huenda ukagawanywa na kuwa mikoa miwili kwa maana ya Mkoa wa Morogoro na Mkoa wa Kilombero.
Inasemekana makao makuu ya mkoa mpya wa Kilombero yatakuwa IFAKARA MJINI na utakuwa na wilaya nne nazo ni Wilaya ya ULANGA, wilaya ya MBINGU, Wilaya ya MALINYI na Wilaya ya IFAKARA.
Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Kilombero sugar Mashamba yao yapo kilombero na hata kiwanda kwa sasa kinahesabika kipo kilombero sio kilosaUkigawanywa Mpaka utakua Mto Ruaha- Kidatu, kwahiyo Kiwanda cha Sukari Kilombero kitakua mkoa wa Morogoro sio Kilombero. Pia Makao Makuu ya Selous/ Nyerere National Park yatakua Morogoro, maana kisaki itakua Morogoro sio Kilombero, ingawa Selous ya Mahenge itakua Kilombero.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia malinyi kutokea songea/Itakuwa vizuri sana naamini ata miundombinu itaboreshwa hasahasa barabara...Mana kumekuwa na changamoto ya barabara kutoka ifakara adi mlimba,barabara mbovu sana kipnd cha mvua ndo usisemee....kutoka ifakara adi mlimba ni km 120 lakini inachukua zaid ya masaa manne adi matano.
Pia itasaidia kuunganisha barabara ya kutoka ifakara adi mlimba na barabara ya iringa Mana pale mlimba masagati kuna border unatokea mkoa wa iringa...
So Kama hvyo tutarajie mazur kwa ujumla
limkoa Ni likubwa sana hili aisee hata wakilikata kutoa mikoa miwili au mitatu bado litatosha.Ni busara sana kwani ukiangalia makao makuu ya mkoa hadi ufike Malinyi utaona kuna kilometa kama 800 na makao makuu yapo karibu na mkoa wa pwani na Malinyi ipo karibu na Mkoa wa Ruvuma Songea yaani ukifika huko na ukiambiwa ni bado uko Morogoro unashangaa mkoa ni mkubwa kama Urusi.