Huenda Mkoa wa Morogoro ukagawanywa na kuwa mikoa miwili; Morogoro na Kilombero

Huenda Mkoa wa Morogoro ukagawanywa na kuwa mikoa miwili; Morogoro na Kilombero

Itakuwa vizuri sana naamini ata miundombinu itaboreshwa hasahasa barabara...Mana kumekuwa na changamoto ya barabara kutoka ifakara adi mlimba,barabara mbovu sana kipnd cha mvua ndo usisemee....kutoka ifakara adi mlimba ni km 120 lakini inachukua zaid ya masaa manne adi matano.

Pia itasaidia kuunganisha barabara ya kutoka ifakara adi mlimba na barabara ya iringa Mana pale mlimba masagati kuna border unatokea mkoa wa iringa...
So Kama hvyo tutarajie mazur kwa ujumla
Unakujua masagati mkuu.... Naandika hii post nikiwa ngalimila.
 
Duru toka Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa zinatabanaisha kuwa Mkoa wa Morogoro huenda ukagawanywa na kuwa mikoa miwili kwa maana ya Mkoa wa Morogoro na Mkoa wa Kilombero.

Inasemekana makao makuu ya mkoa mpya wa Kilombero yatakuwa IFAKARA MJINI na utakuwa na wilaya nne nazo ni Wilaya ya ULANGA, wilaya ya MBINGU, Wilaya ya MALINYI na Wilaya ya IFAKARA.

Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
We ulisikia wapi?
 
Sisi watu wa ifakara kweli watupatie mkoa wetu. Kwanza hatuendani kabisa na watu hawa wa kilosa na huko Morogoro. Wao wanamatch na watu wa Tanga,Pwani na Dar (wazararamo, wakwere,wanguu) hao ndiyo ndugu zao. Muda mrefu tumekuwa tukichangwanywa sana na jamii hiyo. Sisi tunaendana na wenzetu wa kusini hususani Lindi ya kusini na Ruvuma. Kidogo sana na Iringa kwa ndugu zetu wabena. Sisi ni wachapa kazi na wenye maendeleo makubwa.
 
Ukitaka kujua moro ni kubwa angalia umbali wa kutoka moro town kwenda malinyi ni sawa na safari ya kutoka mwanza kwenda dodoma. Kwa umbali huo, wazo la kuugawa ni sahihi kabisa
Aisee.. hii ni sawa na mkoa wa lindi ulivyo. Kuifikia wilaya mfano ya liwale unaweza tumia siku 2.
 
Ukitaka kujua moro ni kubwa angalia umbali wa kutoka moro town kwenda malinyi ni sawa na safari ya kutoka mwanza kwenda dodoma. Kwa umbali huo, wazo la kuugawa ni sahihi kabisa
Mh hebu acha basi uongo,umbali wa Mwanza-Dodoma? hivi unajua hili jukwaa kinatumiwa hadi na watoto wa sekondari kupata maarifa?
 
Duru toka Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa zinatabanaisha kuwa Mkoa wa Morogoro huenda ukagawanywa na kuwa mikoa miwili kwa maana ya Mkoa wa Morogoro na Mkoa wa Kilombero.

Inasemekana makao makuu ya mkoa mpya wa Kilombero yatakuwa IFAKARA MJINI na utakuwa na wilaya nne nazo ni Wilaya ya ULANGA, wilaya ya MBINGU, Wilaya ya MALINYI na Wilaya ya IFAKARA.

Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Wafanye kweli maana kutoka moro mjini mpka Ifakara ni mwendo mrefu almost 5hrs na nauli ni elf 12 yan kubwa kutoka moro mpka dar
 
Mh hebu acha basi uongo,umbali wa Mwanza-Dodoma? hivi unajua hili jukwaa kinatumiwa hadi na watoto wa sekondari kupata maarifa?
Mkuu..kutoka moro mjini hadi wilaya ya malinyi ni takribani masaa 11 yaani mabasi yanaanza safari saa 12 asubuhi kufika ni saa 12 jioni. Sasa kwa umbali huo si ni sawa tu na safari ya kutoka mwanza hadi dodoma na kuzidi?
 
Hivi hizi Wilaya mpya au mikoa mipya inamsaidia nini mkulima wa mpunga zaidi ya kumwongezea gharama za maisha kupitia kodi mbali mbali
Inaongeza fursa za ajira kupitia teuzi za RC mpya,DC mpya,DAS mpya,DED mpya na majimbo ya uchaguzi na watendaji wengine wa mikoani na wilayani.

Pia inarahisisha utawala kwa kupunguza ukubwa wa eneo la wilaya au mkoa.
 
Ni bora kuigawa nchi tukawa na muunganiko wa nchi ndogo ndogo zinazojitegemea Kama ilivyo zanzibar.

Kuwa na mikoa mingi hakuna tija yoyote
 
Mkuu..kutoka moro mjini hadi wilaya ya malinyi ni takribani masaa 11 yaani mabasi yanaanza safari saa 12 asubuhi kufika ni saa 12 jioni. Sasa kwa umbali huo si ni sawa tu na safari ya kutoka mwanza hadi dodoma na kuzidi?
Mkuu umbali haupimwi kwa muda wasafari. Barabara ya Moro - Malinyi inafanana kwa ubora na ile ya Mwanza - Dom?
Umbali upimwa kwa urefu na siyo muda wa safari
 
Ukitaka kujua moro ni kubwa angalia umbali wa kutoka moro town kwenda malinyi ni sawa na safari ya kutoka mwanza kwenda dodoma. Kwa umbali huo, wazo la kuugawa ni sahihi kabisa
Hii ni chai mkuu...

Umbali wa Mwanza - Dom ni kilometa 690 hivi, sasa hiyo Malinyi (bila shaka Ifakara) ipo umbali huo toka Moro town?

Huenda umeona ni mbali sababu magari yanatumia muda mrefu kutokana na hali ya barabara...
 
Back
Top Bottom