Huenda Mkoa wa Morogoro ukagawanywa na kuwa mikoa miwili; Morogoro na Kilombero

Kilombero sugar Mashamba yao yapo kilombero na hata kiwanda kwa sasa kinahesabika kipo kilombero sio kilosa
Kidatu ni jimbo la Mikumi, na Ni wilaya ya Kilosa. Ata Posta box zao ni Kidatu - Mikumi. Sasa kama Mpaka ni Mto maana yake Kiwanda na baadhi ya Mashamba yatakua Morogoro, Ila mashamba mengi yatakua Kilombero.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duru toka Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa zinatabanaisha kuwa Mkoa wa Morogoro huenda ukagawanywa na kuwa mikoa miwili kwa maana ya Mkoa wa Morogoro na Mkoa wa Kilombero.

Inasemekana makao makuu ya mkoa mpya wa Kilombero yatakuwa IFAKARA MJINI na utakuwa na wilaya nne nazo ni Wilaya ya ULANGA, wilaya ya MBINGU, Wilaya ya MALINYI na Wilaya ya IFAKARA.

Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Bora niwe DC wa ifakara Asante Mungu
 
Kidatu ni jimbo la Mikumi, na Ni wilaya ya Kilosa. Ata Posta box zao ni Kidatu - Mikumi. Sasa kama Mpaka ni Mto maana yake Kiwanda na baadhi ya Mashamba yatakua Morogoro, Ila mashamba mengi yatakua Kilombero.

Sent using Jamii Forums mobile app

Viwanda na hata Mashamba yamegawanyika. K1 iko wilaya ya Kilombero na K2 iko wilaya ya Kilosa. Unaposema Kidatu ni upande wa Kilombero wakati Ruaha / Nyamvisi, Kifinga /Kidodi /Ruhembe mpaka Mikumi ni upande wa Kilosa / Morogoro kwa tetesi hii.

Kidatu ipi hiyo ipo mikumi??

Talafa ya Kidatu inaanzia ukivuka mto wa ruaha (Mkamba) na ndipo inapoanzia wilaya ya kilombero.jimbo la mikumi linaishia kabla hujavuka mto ruaha..na ndipo inapoishia wilaya ya kilosa
 
Sawa, nimekuelewa. Ila naona Mkoa Kilombero utakua mkoa wenye barabara mbovu Kuliko mikoa yote ya Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kidatu ipi hiyo ipo mikumi??

Talafa ya Kidatu inaanzia ukivuka mto wa ruaha (Mkamba) na ndipo inapoanzia wilaya ya kilombero.jimbo la mikumi linaishia kabla hujavuka mto ruaha..na ndipo inapoishia wilaya ya kilosa
Sawa, kwahiyo kiwanda cha Kilombero si kipo kabla ujavuka mto, kwahiyo kitakua Mikumi - Kilosa?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka hii ni chai, kutoka Morogoro kwenda Malinyi ni km 290,inaonekana mbali kwa kuwa sehemu kubwa ni rough road
Ni busara sana kwani ukiangalia makao makuu ya mkoa hadi ufike Malinyi utaona kuna kilometa kama 800 na makao makuu yapo karibu na mkoa wa pwani na Malinyi ipo karibu na Mkoa wa Ruvuma Songea yaani ukifika huko na ukiambiwa ni bado uko Morogoro unashangaa mkoa ni mkubwa kama Urusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkoa mkubwa sana huu ukiacha kwamba hifadhi nazo zinachukua nafasi kubwa

Back
Top Bottom