Hata Sina kinyongo
Senior Member
- May 16, 2020
- 118
- 280
BADO TUNA SAFARI NDEFU KAMA TAIFAMungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
hiyo ipo hukuwilaya ya mlimba mbona siioni hapo
wilaya ya mlimba mbona siioni hapo
Mtoa post kachanganya badala ya kuandika wilaya ya mlimba kaandika mbinguwilaya ya mlimba mbona siioni hapo
Labda Mlimba itakuwa ndani ya Mbinguwilaya ya mlimba mbona siioni hapo
Mlimba Imemezwa kwenye wilaya ya Mbingu
- Acha uongo hakuna wilaya ya mbingu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko wilaya ya mbinguni kukoje. Kwa anayejua tafadhali
Kwakuwa Inzile na Gweregwere wapo wengi ningeomba waigawe mikoa yote tuwe na majimbo hata 700 ili makalai na ng'ombe wasio na mikia wapewe SUB.Duru toka Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa zinatabanaisha kuwa Mkoa wa Morogoro huenda ukagawanywa na kuwa mikoa miwili kwa maana ya Mkoa wa Morogoro na Mkoa wa Kilombero.
Inasemekana makao makuu ya mkoa mpya wa Kilombero yatakuwa IFAKARA MJINI na utakuwa na wilaya nne nazo ni Wilaya ya ULANGA, wilaya ya MBINGU, Wilaya ya MALINYI na Wilaya ya IFAKARA.
Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Ni Mbingu sio Mbinguni..sio wilaya ni kijiji kilichopo wilaya mpya ya mlimba..Huko wilaya ya mbinguni kukoje. Kwa anayejua tafadhali
Huo mkoa ni mkubwa balaa. Nimebahatika kuutembea kwa kiasi fulani ,ni haki waugawe tu.Duru toka Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa zinatabanaisha kuwa Mkoa wa Morogoro huenda ukagawanywa na kuwa mikoa miwili kwa maana ya Mkoa wa Morogoro na Mkoa wa Kilombero.
Inasemekana makao makuu ya mkoa mpya wa Kilombero yatakuwa IFAKARA MJINI na utakuwa na wilaya nne nazo ni Wilaya ya ULANGA, wilaya ya MBINGU, Wilaya ya MALINYI na Wilaya ya IFAKARA.
Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Hivi hizi Wilaya mpya au mikoa mipya inamsaidia nini mkulima wa mpunga zaidi ya kumwongezea gharama za maisha kupitia kodi mbali mbali
[/QUOTE
Sio kweli, inakoanzishwa wilaya mpya au mkoa mpya maendeleo ni makubwa sana hata hali ya kiuchumi ya wananchi wa eneohusika upanda juu.Hivi hizi Wilaya mpya au mikoa mipya inamsaidia nini mkulima wa mpunga zaidi ya kumwongezea gharama za maisha kupitia kodi mbali mbali