Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Kufika kileleni kwa baadhi ya wanawake huambatana na kurushwa kwa maji-maji ukeni yakiruka kama bomba kupitia njia ya uke lakini si haja ndogo.Majimaji hutoka karibu na uke, kwenye tezi inayoitwa "skene".
Kwa wanaume wakifika kileleni hukakamaa, hutoa mlio kama simba, kumkumbatia mwenza na kupata usinizi mzito sana.
Wapo wanaume wachache wanaweza kuunganisha bao la kwanza la la pili, wachache sana na wengi ni wa Mikoa ya Kaskazini kwa tafiti zinaonyesha Arusha na Kilimanjaro.
Tatizo kubwa katika hili ni kwamba ukienda kwenye tendo la ndoa kwa ajili ya kujifurahisha na kuishia kughushi, unachopata ni kuchanganyikiwa na kupungua kwa hamu.
Wakati mwingine kufika kileleni haionekani, kwa sababu tuna wasiwasi, tumechoka, kwenye lishe, na kazi nyingi ... Lakini hii lazima iwe kitu maalum. Ikiwa hufikii mara saba kati ya 10, nenda moja kwa moja kwenye mtaalam wa ngono.
Wanandoa wengi , yaani wanaume na wanawake wana tabia ya kuighushi ikiwa wanapoteza ugumu wa uume au wanapata shida kuitunza, ama kwa sababu ya wasiwasi au kwa sababu wanatumia dawa za mfadhaiko (dawa hizi hupunguza kasi ya kufika kileleni).
Kuna mtu ana ndoa ya miaka 30 na hajawahi kufikishwa kileleni.
SWALI KWA WANAWAKE: Je, Mama mwenzangu , kuwa mkweli, umewahi kufikishwa kileleni? Umewahi kurusha maji? Squitting?
SWALI KWA WANAUME: Mkeo/mchumba kama hujawahi kumfikisha kileleni, au kama hujawahi kumtoa hayo maji siku ikitokea akakutana na dereva boda-boda akamfikisha kileleni basi ndoa imekufa.!
GEN -Z na WANAUME: Mkiona mwanaume mwenye ndoa anakula chips au ice cream au kuku wa kisasa mwambie atasaidiwa kazi na dereva bodaboda.
NOTE: Wanawake wengi wanaofungua talaka pale Mahakama ya Temeke-kituo jumuishi , wanaleta visingizio vingi ila kikubwa ni kutofikishwa kilwlwni na wao wakiona uzi kama hu ndio hasira kabisa.