Huenda ni mwanamke 1 kati ya 10 ndio amewahi kufika kileleni kwa Dar es Salaam

Huenda ni mwanamke 1 kati ya 10 ndio amewahi kufika kileleni kwa Dar es Salaam

Kitaalamu swala la orgasim kwa mwanamke alitegemei ujanja wa mwanaume.

Watu ambao hawajui huu ukweli huwa wanaishia kula madawa ili wawafikishe wanawake katika orgasm.


Sex Ina-deal na ubongo zaidi japo uke na ume ndo vinkutana .

Hivyo mwanamke akiamua kufika katika orgasm yake anaweza usiharibu Afya yako Kwa kula madawa.

Mwanaume hakikisha Una good blood circulation

Na mwanamke hakikisha Kama unataka kufika orgasm uwe na appetite ukiwa na appetite ya sex hautoweza kulalamika kuwa haufikishi wakati kila kitu under ur own control
 
😅
FB_IMG_1728636169370.jpg
 
Sisi huku kwetu mara hatuhitaji kumfikisha mwanamke kileleni kwa maana hana miguu ya kumfikisha kilele kishanyofolewa Na tunaenjoy saana ndoa zetu.
Samahani kwanza hivi hao wanaofikishwa kileleni gari huwa wanapandia wapi?
 
Back
Top Bottom